Utetezi wa hovyo sana. Kwa mchezaji kama mzize mwenye mchango mkubwa klabu inayojielewa ingekaa nae haraka kuboresha masilahi hata kama hapo kabla alikubali kiduchu.Ndugu zangu,
Kuna kitu hapa tunapaswa kuelewa, kila mshahara anaolipwa mtu huja baada ya maongezi na makubaliano.
Kama mshahara wa mtu ni mdogo au mkubwa uliotokana na makubaliano aliyofanya na mlipa mshahara huo.
Guede kaijua thamani yake na akadai mshahara kulingana na thamani yake kama anavyojijua isilaumiwe Yanga.
Kama Mzize anaona analipwa kidogo basi aende atakakopewa mshahara mkubwa, kama ilivyokuwa kwa Fei.
Yanga haitoa mshahara kwa kufupa, ila kwa makubaliano ya pande zote mbili, wala haina haja ya kuingilia sisi mashabiki.
Ova
Hapo akitaka kuondoka atawekewa mizengwe ya kiswhahili swahili. Sema wachezaji wa kibongo nao wamekaa kizembe zembe hata kutengeneza tetesi bandia za kuhamia simba kuwa mrithi wa john bocco hamna. Wanakaa kama washabiki wa timu, bado wako enzi za Ngasa