Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
FAKE NEWSNimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.
Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.
Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye comments
Mlianza na..
UBUNTU BOTHO (Masadakolo)
MARA MAYELE NA AZAM interview
MARA KUFUNGIWA NA FIFA kusajili
MARA HILI LA MISHAHARA FAKE
Yote hayo Yanga tupo kimya
Propaganda zote hizo hatutoki relini na mkikaa vibaya tatehe 20 ni maafa