ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Kwa hio wachezaji wa Yanga ndio wanastahili kupiganiwa pekee?Acha watu wawapiganie vijana wapate maslahi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hio wachezaji wa Yanga ndio wanastahili kupiganiwa pekee?Acha watu wawapiganie vijana wapate maslahi.
Leta hata wa mtibwa mzawa watu watakusapoti.Kwa hio wachezaji wa Yanga ndio wanastahili kupiganiwa pekee?
Well said mkuu kama mchezaji aliusoma mkataba na akakubaliana na kiasi hicho shida sio yanga, shida ni huyo mchezaji kwa kuona ni sawa kwa anacholipwa.Ndugu zangu,
Kuna kitu hapa tunapaswa kuelewa, kila mshahara anaolipwa mtu huja baada ya maongezi na makubaliano.
Kama mshahara wa mtu ni mdogo au mkubwa uliotokana na makubaliano aliyofanya na mlipa mshahara huo.
Guede kaijua thamani yake na akadai mshahara kulingana na thamani yake kama anavyojijua isilaumiwe Yanga.
Kama Mzize anaona analipwa kidogo basi aende atakakopewa mshahara mkubwa, kama ilivyokuwa kwa Fei.
Yanga haitoa mshahara kwa kufupa, ila kwa makubaliano ya pande zote mbili, wala haina haja ya kuingilia sisi mashabiki.
Ova
Na viongozi wao wameshawajua kuwa ni wajinga na ndio maana Manzoki wakaletewa siku ya uchaguzi na wakafurahi sana.Ndo maana uwezo wa mashabiki wa simba kufikiri ni mdogo sana
Viongozi wao wamewekeza kwenye propaganda za hali ya juu sana
Tupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!Mshahara halisi anaujua mwenyewe Mzize na Diara. Kwani wewe hauna uwezo wa kukaa na kutengeneza chart kama hivyo? Au hapo kuna uthibitisho upi unaonesha kuwa Yanga wanalipa hiko kiasi cha pesa kwa wachezaji?
Tufanyaje basi...Viongozi wenu wanajua kucheza na akili zenu sana mashabiki wa simba
Msimu wa tatu simba ana hatari ya kuchukua makombe mawili tu ndani ya misimu mitatu
Ili kuwapoteza maboya wana cheza na propaganda kama hizi ili kuwapoteza maboya
umemchana liveTupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!
Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
Mashabiki wa simba huwa hawana hasara timu ikipigwa.mashabiki wa simba wengi wao wanaupeo mdogo sana na hii inatoa mwanya viongozi wao kutumia propaganda kuwachezea
Kuongoza simba ni rahisi sana hata msimu uliopita timu imekosa makombe yote wakahakikisha saido anaondoka na kiatu mashabiki waliridhika sana kana kwamba wamechukua kombeNa viongozi wao wameshawajua kuwa ni wajinga na ndio maana Manzoki wakaletewa siku ya uchaguzi na wakafurahi sana.
Mayele katembelea kambi ya Simba Misri wakafurahi sana na boss Mo akaandika mtandaoni "niseme au niseme"
Wakatolewa mashinindanoni FA na CAFCL wakaona apewe airtime Mayele afunike.
Wameenda Singida wametoka sare na Ihefu huku Yanga akishinda kwa kishindo wakaamua kuja na mishahara ili kuwapofusha wana Simba na kuivuruga Yanga.
Sijui ni tokea zamani wapo hivyo au siku hizi za karibuni tu wamekuwa na maarifa madogo kiasi hiki, yaani wameonesha ni wepesi kudanganyika na hawana uwezo wa kufanya reasoning.Kwa hizi nyuzi utagundua mashabiki wa simba wengi wao wanaupeo mdogo sana na hii inatoa mwanya viongozi wao kutumia propaganda kuwachezea
Jana tajiri wao kawaambia ataongea nao instagram eti waseme wachezaji wasiowapenda na wanaowapenda wasajili angalia huu uongo na propaganda kuongoza simba ni rahisi sana
Kwa hiyo mashabiki wote wa simba Tanzania na duniani unawajua na unauhakika hawaumii timu inapofanya vibaya kama sahiviMashabiki wa simba huwa hawana hasara timu ikipigwa.
Arsenal ilipopigwa hivi juzi sisi Mashabiki wake tuliopo bongo hatukupata hasara yoyote.
Tafuta hoja nyingine ya kutetea dhurma kwa wachezaji wazalendo hapo Yanga.
Kuna sehemu umewasikia wanataka support yako!Leta hata wa mtibwa mzawa watu watakusapoti.
Utaanzaje kuumia kwa kitu ambacho hujakigharamikia?Kwa hiyo mashabiki wote wa simba Tanzania na duniani unawajua na unauhakika hawakuumia
Usipende kuishi kwa kujifariji
Kati ya sukari na fungu la bamia au mchicha kipi kina bei ghari?Kumbe Feisal alivyosema alikua anakula ugali na sukari hakua anatania? Na hapo bado unakuta wanacheleweshewa mshahara hata miezi mi 3
Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.
Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024
# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Zambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k
Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye comments
View attachment 2964980
Unatatizo kubwa sana la akiliUtaanzaje kuumia kwa kitu ambacho hujakigharamikia?
Ikiwa wewe huwa unaumizwa pale timu usiyoigharamikia ikifungwa basi utakuwa u mpumbavu na lofa tu 😁