Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Mikataba yao inasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi pdf mkuu za kutengeneza hazitowasaidia tarehe 20.Wachezaji wa simba iyo hapoView attachment 2965217View attachment 2965218
Mbumbumbu yanaelewa basi? SC players salaries hazina nembo ya klabu, mihuri wala official news website yoyote inayodhihirisha kuwa valid data, hata mimi mwenyewe naweza kuzitengeneza kwenye PC vizuri tu na nikazituma humu JF, ila yalivyokomalia sasa [emoji848][emoji1]Jamani tarehe 20 ni kesho kutwa tu, msiseme tumewastukiza.
Mishahara ya wachezaji iko wazi ni sawa tu na umri wa mchezaj inajulikanaMbumbumbu yanaelewa basi? SC players salaries hazina nembo ya klabu, mihuri wala official news website yoyote inayodhihirisha kuwa valid data, hata mimi mwenyewe naweza kuzitengeneza kwenye PC vizuri tu na nikazituma humu JF, ila yalivyokomalia sasa [emoji848][emoji1]
hivi mtu na akili zako unaamini huu ujinga!!!Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.
Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024
# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Zambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k
Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye comments
View attachment 2964980
Sasa hiyo mzize iyo 600k kwenye boda akikomaa si anaipata kabisaTupo kwenye global village, kwa sasa hakuna siri ya salary wanazopokea watu, tunajua hadi mshahara wa rais, sembuse na mshahara wa Mzize!
Ikiwa hujui mishahara ya hao wachezaji utakuwa u miongoni mwa watu mbumbumbu ndani ya global village.
Kwa hii mishahara wanafungwaje na Prisons,?Wachezaji wa simba iyo hapoView attachment 2965217View attachment 2965218
Uto walimdanganya akaacha hiyo kazi, labda msimu ujao anaweza kurejea kwenye hiyo kazi aendelee kusomba abiria 😂Sasa hiyo mzize iyo 600k kwenye boda akikomaa si anaipata kabisa
Hii mbona imekaa kimajungu zaidiNimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.
Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024
# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Z¹ambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k
Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye comments
View attachment 2964980
Hata MU wanapigwaga na vitimu visivyolipa vizuri wachezaji wao, huku MU ikiwa inalipa vizuri tu wachezaji wake.Kwa hii mishahara wanafungwaje na Prisons,?
Nilichogundua kwa huu uzi ni kwamba Uto fans wote hawajui lolote kuhusu wachezaji wao wazawa hawalipwi vizuri.Hii mbona imekaa kimajungu zaidi
Shifta ana roho mbayaNilichogundua kwa huu uzi ni kwamba Uto fans wote hawajui lolote kuhusu wachezaji wao wazawa hawalipwi vizuri.
Endeleeni kumsifia Hersi kuwa ni akili kubwa, Ila dogo Fei toto alishasema "hakuwa na ugomvi na Yanga isipokuwa Hersi ndiye mgomvi wake" 😂😂
Hata mie nashangaa.
KabisaShifta ana roho mbaya
NAMNA YA KUGUNDUA TAARIFA SAHIHINina wasiwasi na hiyo list. Pacome kulipwa 3m na Maxi kulipwa 2m ni uongo uliokubuhu. Pia Farid mwenye exposure ya Ulaya kulipwa 750k haiji kabisa. Chanzo cha hiyo taarifa ni kipi?
Ukiona ni uongo basi we leta ukweli.Uongo huu, lete source.
kama ni kweli, inauma sana.Nimeangalia chati ya mishahara ya wachezaji wa Yanga nmeona Mzize analipwa laki 6 halafu Guede analipwa milioni 29 na laki 8, Aisee nmelia ndugu zangu
KAMA NDIVYO ILIVYO basi hii ni dharau kubwa sana kwa wachezaji wetu wazawa, vilabu vyetu viangalie upya maslahi ya wachezaji wazawa hii sio sawa.
Hiyo ndo mishahara yao wanaolipwa ukitoa posho na zile bonasi.
Mishahara Ya Wachezaji Wa Yanga 2024
# Player Nationality Salary
39 Djigui Diarra Mali 4 Mil
1 Metacha Mnata Tanzania 2 Mil
16 Abuutwalib Mshary Tanzania 500k
2 Ibrahim Hamad Tanzania 3.5 Mil
3 Bakari Mwamnyeto Tanzania 3 Mil
5 Dickson Job Tanzania 2.5 Mil
37 Fred Gift Uganda –
13 Lomalisa Mutambala DR Congo 2 Mil
30 Nickson Kibabage Tanzania 990k
21 Kouassi Attohoula Cote d’Ivoire 3 Mil
33 Kibwana Shomari Tanzania 1 Mil
8 Khalid Aucho Uganda 6 Mil
18 Salum Abubakar Salum Tanzania 3 Mil
27 Mudathir Yahya Tanzania 2.3 Mil
26 Pacôme Zouzoua Cote d’Ivoire 3.1 Mil
19 Jonas Mkude Tanzania 5 Mil
20 Zawadi Mauya Tanzania 2.2 Mil
10 Stephane Aziz Ki Burkina Faso 23.4 Mil
7 Maxi Nzengeli DR Congo 2 Mil
40 Denis Nkane Tanzania 900k
17 Faridi Mussa Tanzania 750k
6 Mahlatsi Makudubela South Africa €5k
15 Augustine Okrah Ghana 8.2 Mil
28 Joseph Guédé Gnadou Cote d’Ivoire 29.8 Mil
11 Crispin Mhagama Tanzania 550k
24 Clement Mzize Tanzania 600k
25 Kennedy Musonda Zambia 6 Mil
22 Shekhan Ibrahim Khamis Tanzania 420k
Mkeka huo nmekuekea hapo chini kwenye comments
View attachment 2964980