Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

Kwa akili hizi tarehe 20 tunawapiga 5G mpya
 
Kwa hiyo Skudu analipwa kwa Euro?
 
Konde boi ni mtz? Siamini
 
Kama Mzize anaona analipwa kidogo basi aende atakakopewa mshahara mkubwa, kama ilivyokuwa kwa Fei.
Hivi unajua kuwa suala la fei kuondoka yanga ilibidi rais wa nchi aingilie kati? Hiyo bahati mzize ataipata?
 
Mashabiki ile timu ya mwakarobo wakiwaza yatakayojiri tarehe 20 malaria inawapanda kichwan wanakuja kupost vitu vya ajabu ajabu.
 
Hivi unajua kuwa suala la fei kuondoka yanga ilibidi rais wa nchi aingilie kati? Hiyo bahati mzize ataipata?
Kuondoka ni kuondoka tu, na kila mtu ataondoka kwenye timu kwa namna yake. Ila mchezaji akiwa serious kutaka kuondoka hazuiliki.

Ova
 
Mayele alisema yanga kuna ubabaishaji.

Lakini yeye haimsikitishi na anapiga misele uwanjani
 
Halafu wanajamba jamba uwanjani ..shit
 
Mshahara siyo hisani, unapewa uliokubaliana upewe. Hata angetaka asilipwe, Yanga isingemlipa. Elewa taratibu za ajira.

Na hivyo anafanya kazi vizuri, maana yake unamtosha sana mshahara anaolipwa. Akitaka mkubwa atadai apewe mkubwa.

Ova
 
Mshahara siyo hisani, unapewa uliokubaliana upewe. Hata angetaka asilipwe, Yanga isingemlipa. Elewa taratibu za ajira.

Na hivyo anafanya kazi vizuri, maana yake unamtosha sana mshahara anaolipwa. Akitaka mkubwa atadai apewe mkubwa.

Ova
Wachezaji waliotoka timu za vijana huwa wanaanza na mishahara midogo tofauti na wanaonunuliwa moja kwa moja. Klabu za kienyeji ndio zinakuwa na mentality kama yako ila klabu za kisasa kwa vijana wao wenye mchango zinakaa nao haraka kuwaboreshea masilahi.

Mwajiri bora uwaongezea mishahara wafanyakazi wake wenye mchango bila hata wao kudai. Ila Mwajiri oya oya atataka upigike hivyo hivyo hata ukila ugali na sukari.
 
Hapo unazungumzia taarifa inayotolewa kwa jamii kupitia media huwa hivyo, kuwa klabu imeamua kuboresha.

Ila kabla ya hiyo taarifa huwa kuna kudai hayo maboresho hadi kuafikiana waboreshe kwa kuongeza kiasi gani.

Mshahara bora huwa unadaiwa comrade, hautolewi tu. Ukitaka kuelewa nisemacho subiri mabango ya Mei Mosi kwa Rais.

Ova
 
Hao unaowatolea mfano ni wale waĺe. Soma hapa chini.
 

Attachments

  • Screenshot_20240417-061736.png
    506.3 KB · Views: 3
huu ni uongo wa hatari,kwa taarifa yako mshahara wa chini kwa yanga sasa ni 5m
 
Sasa si ukawapambanie waongezwe mshahara humu JF utasaidika vipi?
 
Ni kawaida ya ngozi nyeusi kuwa wabinafsi. Hapo unafikiria tumbo lako sababu tu ya kupikiwa supu na chapati na kuona sawa vijana kulipwa kiduchu.
Mkuu unakomalia hii ishu je kipi kinachokuaminisha moja kwa moja kuwa hiyo ndio mishahara halisi wanayolipwa na sio taarifa fake? Nini kinachokufanya uamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…