Inadaiwa Freeman Mbowe azuiliwa kupewa chakula akiwa mahabusu

By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."

Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:

"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."
Mungu mbariki Mbowe
 
inawezekana Mbowe kaonewa au hajaonewa...ni siri baina yake na dola lakini pia haki itaamua iwe mahakama au otherwise..

Hawa wengine waache kutafuta attention na umaarufu kupitia Mbowe kuwa mahabusu, wanaojua taratibu za kumpelekea mfungwa au mahabusu chakula sidhani kama kuna issue yeyote...kama wahusika nia yao ni kumdhuru Mbowe wana njia nyingi kuliko hii ya kumnyima chakula Lema atulie Canada aache kutafuta umaarufu..
Lema anatafuta umaarufu gani wakati wewe mumeo na ukoo wenu mnamjua?
Acha hizo aisee.!
 
Chadema wakati mwingine mtulie na kutafakari.Chakula kililetwa na nani?Sio kila mtu akileta chakula kitapokelewa kwa mtu mkubwa kama yule
Hata kusoma huelewi rudia kusoma utapata jibu chakula kilipelekwa na nani, mtoto wa balozi wa nyumba kumi wewe
 
Lema, unatafuta attention for nothing, umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan

Mbowe kazuiwa kupewa chakula au hakuzuiwa? Hiyo si ndiyo hoja? Jibu hoja badala ya kurukia viroja.
 
Hata kusoma huelewi rudia kusoma utapata jibu chakula kilipelekwa na nani, mtoto wa balozi wa nyumba kumi wewe
Mbowe ni mtu mkubwa.Ni nani aiyepeleka chakula?Kila mtu akileta chakula kwa ajili ya Mbowe kipokelewe tu?Familia ya Mbowe ni kubwa,wanachama wake,watoto wake,ndugu zake,wachaga wenzie n.k.Mbona Twaha Mwaipaya wamemtembelea na hawakuripoti jambo hilo bali himizo la kuwa watu waendelee na mapambano.
Alizushiwa kuhusu afya na matibabu na akaja kukiri mwenyewe kuwa anaangalia vizuri na madakari ni mojawapo na Prof Janabi.
 
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."

Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:

"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."

Wewe unethibitisha vipi hiyo habari, au ndiyo mambo ya hearsay!
 
Mbowe ni mtu mkubwa.Ni nani aiyepeleka chakula?Kila mtu akileta chakula kwa ajili ya Mbowe kipokelewe tu?Familia ya Mbowe ni kubwa,wanachama wake,watoto wake,ndugu zake,wachaga wenzie n.k.Mbona Twaha Mwaipaya wamemtembelea na hawakuripoti jambo hilo bali himizo la kuwa watu waendelee na mapambano.
Alizushiwa kuhusu afya na matibabu na akaja kukiri mwenyewe kuwa anaangalia vizuri na madakari ni mojawapo na Prof Janabi.
Hiyo tafsiri ya neno familia kwa jinsi ulivotafsiri wewe ni kamus ipi na toleo gani
 
Kwani toka awe rumande amekuwa akifunga kula na leo ndio ameanza kula kufikia kujua amezuiwa?!!!

Siasa za visingizio na matukio haziwasaidii CDM....
 
Ktk hili suala la Mbowe huyu maushungi laana inamnyemelea
 
Chadema wakati mwingine mtulie na kutafakari.Chakula kililetwa na nani?Sio kila mtu akileta chakula kitapokelewa kwa mtu mkubwa kama yule
Ukiacha ukubwa wake.
Utaratibu sikuna mtu aliandikishwa kwa huduma ya chakuka,
 
Back
Top Bottom