Pre GE2025 Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kujibu hoja za Lissu na ccm ni ngumu kuliko ugumu wenyewe
 
Siku za nyuma propaganda kama hizi watu waliziamini, lakini kadiri kizazi kinavyozidi kubadika, propaganda kama hizi zimebaki kuwaingia wavivu wa kufikiri. Inshort rudi shule ukajifunze propaganda.
 
Hoja alizoeleza Tundu Lissu ni za kweli au siyo za kweli? Ni hayo tu mleta mada..
 
Nina maswali kadhaa kwako mleta mada.

Mosi ,lini Lissu alimshambulia Samia na alimshambulia vipi?

Pili, lini Lissu aliomba gari hiyo ya Nissan Patrol unaweza kuweka ushahidi?

Tatu , kwanini Lissu alipoenda kufuata gari yake iliyomiminiwa risasi Dodoma pale kituoni walimkatalia?

Nne ,je lini serikali itaruhusu uchunguzi huru kutoka vyombo vya nje akama Scotland Yard baada ya yenyewe kuonyesha kushindwa kuwatia nguvuni waliomminia Lissu risasi 16 mchana kweupe kwenye eneo lenye ulinzi kabisa?

Tano ,camera za ulinzi za eneo la alipomiminiwa Lissu risasi 16 ziko wapi na nani alishiriki kuziondoa?

Hebu tuanze na hayo kwanza.
 
Lissu Hana gari?
 
Amemnyima Lissu gari ila MAULIDI Kitenge akampa?
 
Upo tayari kuandika uongo na kushuhudia uongo kwa mtanzania mwenzako kisa uchawa kwa CCM ?. Andiko lote Hilo ili umfurahishe mama Abdul. Wewe ni mjinga na mpumbavu kwa wakati mmoja.
 
Gari? Kanyimwa gari?..... Very stupid argument

Mwisho mtakuja na hoja kuwa Tundu Lissu anamwandama Samia Suluhu Hassan - Mzanzibari kwa kuwa alimnyima tendo la ngono kwa kuwa alimtongoza Ubelgiji na kumkataa.!

By the way, nani kakuambia kuwa Tundu Lissu anashindwa kununua gari lake kwa pesa za jasho lake tokana na kufanya kazi zake kwa bidii?

Na kwa taarifa yako ni kuwa, Tundu Lissu anapendwa na kukubalika na kila mpenda ukweli na haki kwa sababu ya matokeo ya kazi zake nzuri katika jamii ya Watanganganyika.

Tundu Lissu ana - influence watu kwa elimu ya uraia (civic education) anayotoa kiasi cha kuamsha ufahamu na akili za watu kuijua na kulielewa taifa lao na historia yake kwa usahihi.

Tundu Lissu anawatoa watu kwenye giza la fikra mbovu na za uongo zilizosababishwa na CCM kwa miaka zaidi ya 60 tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961.

Watu tunautambua mchango wake mkubwa kwa nchi hii. Huyu mtu ndiye tunayemhitaji kama nchi na taifa. Hii ni hazina ya nchi na taifa.

Acha kuzusha uongo usio na kichwa wala miguu. Utahukumiwa severely, shauri lako.

Na kwa sababu hii, akitangaza hata leo kuwa anataka gari mpya ya aina yoyote hata kama ni mbili au tatu, tutachanga mapesa na tutanunua gari hizo kwa ajili yake Ili aweze kufanya kazi ya kuongoza mapambano ya kuikomboa nchi kwa urahisi zaidi!!

Lakini kutaka gari toka kwa mafisadi na wala rushwa, wanuka damu za watu na wanyimi wa haki za watu kina Samia Suluhu Hassan na wenzake huko CCM, HAPANA.!!
 
Waweza kuwa mtunzi mzuri hadithi, endeleza kipaji. Lakini hadithi yako ya Lissu kuomba gari aina ya Nissan Patrol SIIKUBALI kabisa.

Japo simuanimi Lissu kiuongozi wa nchi lakini naamini Lissu amekuwa akipigania kupata stahiki zake tu za ubunge wa 2015-20 na gharama za matibabu.

Hakuna muombaji anayeomba brand ya gari bali mtu huomba gari tu! Kwa nini Lissu amombe Nissan Patrol? Kwa hiyo akipewa LandCruiser atakataa na kuendelea kumsema Rais hadharani??

Mimi naamini Lissu kusema ovyo au kuropoka ni hulka yake tu. Wala hajali mema ambayo Rais kamtendea binafsi dhidi ya yule shetani afriti wa Chato
 
Upo tayari kuandika uongo na kushuhudia uongo kwa mtanzania mwenzako kisa uchawa kwa CCM ?. Andiko lote Hilo ili umfurahishe mama Abdul. Wewe ni mjinga na mpumbavu kwa wakati mmoja.
Lijinga sana
 
Tumia akili mkuu,acha ku Try again!

Kama anataka gari ,hizo Hela anazotumia kwenye mikutano SI angenunua gari jipya atanue!!?

Kwahiyo na hayo ya kudai katiba ambayo sisi CCM ndio tulianzisha mchakato wake ni nongwa ya kunyimwa gari!!?
 
Tumia akili mkuu,acha ku Try again!

Kama anataka gari ,hizo Hela anazotumia kwenye mikutano SI angenunua gari jipya atanue!!?

Kwahiyo na hayo ya kudai katiba ambayo sisi CCM ndio tulianzisha mchakato wake ni nongwa ya kunyimwa gari!!?
😂😂😂 kwahiyo ana hela za kuandaa mikutano nowdays ..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…