Pre GE2025 Inadaiwa hasira za Lissu zinatokana na kunyimwa gari na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
tundu
tundu antipas mughwai lisu ajibiwe kwa hoja. siyo viroja wala hoja za taarabu na ngonjera kama hizi. umeshindwa kumjibu TL badala yake unaleta visingizio? hizi ni siasa za kawaida kabisa kutoka kwa wapumbavu wa lumumba
 
kwani hilo gari ni bei gani wakuu ili leo iwe hivyo
 
Tundulisu,hafai kuwa Rais wa Nchi.
 
Tundulisu,hafai kuwa Rais wa Nchi.
Ukimwangalia vizuri huyu Tundulisu ni mnafiki sana,kama hajui Pesa zinatoka wapi?Kwanini atuhumu watu kuwa itakuwa ni Abdul na Mama yake.Inafaa auelezee umma vitu vya ukweli siyo Siasa za Maji taka,tumechoshwa na umbea wake.Kwanafasi yake yeye hapaswi kuroporopoka kama msemaji wa mpira.Inafaa atuthibitishie Watanzania kuwa hizo Pesa zinatokana na chanzo kipi chamapato ndani ya Chama chake. Labda anafikiria Watanzania tumesahau walichotufanyia mwaka wa 2015,Kununuliwa na mtu mmoja wakagawana Pesa na Kumfukuza Wilbroad Silaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…