Najua inakuuma sana kuona mambo hadharaniHuyo ni member mzoefu, lakini kaona akileta umbea wake hapa kwa id yake ya siku zote, hakuna atayemtilia maanani. Watu wanaotafuta attention hufanya hivyo.
Ni mataahira peke yao ndo watawaamini hawa watuKm kuna MTU anaiamini police Tanzania na serkali ya magufuli wapimwe akili
Lini akili ya mwana buku 7 ikajua mambo kama hayo!pia kuna angle of depression na angle of elevation ktk upgaj picha cdhn km analijua ilo
Haya mambo ndiyo aliyakataa Mangu halafu kajinga haka kakapewa UIGP, wauaji washenzi wakubwa. Muuaji Mkuu hapa Tanzania anafahamika na hata sura yake ukiitazama unaona kabisa huyu ni muuaji.Hizo ndio siasa za mabashite wakiongozwa na mkuu wa ukoo bwana gongo kali
Je! Kama hiyo ndiyo hali halisi inawezekana kandama mkuu hajui kweli au ndiyo kutii amri ya mungu mtakafujo?Eee Mungu wa mbinguni turehemu kwa mambo haya yanayotokea. Kweli shamelessly mtu anadiriki kusema hamjui wakati wamekuwa pamoja for so long? Basi twafwa. Hata huyo dereva naona anatakiwa ili awe bennylised tumbona alijulikana the same day, ndio maana Sirro anazidi kujidhalilisha, hao ni majamaa wa bashite
Kila kitu kinawezekana mkuu,maana huenda hata miongoni mwao kuna wasiofurahishwa na matendo maovu yanayoendelea.Lazima Mungu ana mjumbe wake mmoja,shetani hawezi kumiliki akili zote...Dunia hii haina siri kamweHapo tumeshaunganisha dots......wauaji wetu na watelaji tunawajua kweli dunia hii hakuna siri tena!! Lisu akiziona picha na huyu sniper na huyu mwingine atasema kitu!! Uzuri hakuna siri chini ya jua na kwa polisi wa Tanzania.....pia ukitaka siri zaidi jina na mpango mzima....kwa wale masela kule selo wana data zote.....utashangaa mtandao wao mkubwa sana na unaingiliana na polisi wale wapiga deal wenzao....hakuna siri!!!! Aliepiga risasi Lisu aliendesha gari na hata posho waliolipwa itawekwa wazi siku moja!!!!........muda tuu
Hii inafanana na kesi ya viongozi wa JF Polisi waliomba msaada wa kuwapata wakwepa kodi walipopewa taarifa kupitia JF watoa taarifa wakageuzwa kuwa waharifu! Pambaaaaf kabisaPolisi Wameomba Msaada Haya wamepewa Je mbwa Mkali ataung'ata Mkia wake?
Huyu ni Expert kabisa ila hii ID ni kwa ajili ya hizi habariHuyu mtoa post noma sana yaani amejiunga leo ameshusha kitu kizito, Salute mkuu
..wanajulikana sana tu kwani si wapo humu humu mitaani tunaishi nao na wanapiga chibuku kwenye hizi pub zetu humu humu kitaa ila wenye nchi yao na kina sirro wanataka kutuaminisha kuwa ni watu wasiojulikana...!Kaka mkuu,kwahiyo "watu wasiojulikana" wanajulikana??,Mungu ibarki Tanzania
Uzi huu Pogba atakuwa anaukodolea kwa jicho moja ikuluJamii forum siyo pa mchezomchezo ndiyo maana wanombwa malaika waje wazime mitandao hasa ikilengwa jf
Kabla hayajamkuta Mh Nape alikuwa na kauli kama hizi zako , subiri zamu yako ifikeKama ni hivyo Nape kwa nini asiende kumfungulia mashtaka huyo hery?
Hamjapata na video yake ya mwaka 2008?