Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Tetesi: Inadaiwa huyu ndio Herry aliyemtishia Bastola Nape Nnauye, akiwa na Simon Sirro

Status
Not open for further replies.
Huyo ni member mzoefu, lakini kaona akileta umbea wake hapa kwa id yake ya siku zote, hakuna atayemtilia maanani. Watu wanaotafuta attention hufanya hivyo.
Najua inakuuma sana kuona mambo hadharani
 
alionekana kwenye uvamizi wa nape hapatikani ndio itakuwa kwa watu waliompiga risasi lisu.nawaelewa sana chadema wanaposema wanataka wachunguzi huru kutoka nje ya nchi.
 
hivi bashite alivyo sema hii dunia siyo ya Mungu alikuwa anamaanisha nini
 
Hizo ndio siasa za mabashite wakiongozwa na mkuu wa ukoo bwana gongo kali
Haya mambo ndiyo aliyakataa Mangu halafu kajinga haka kakapewa UIGP, wauaji washenzi wakubwa. Muuaji Mkuu hapa Tanzania anafahamika na hata sura yake ukiitazama unaona kabisa huyu ni muuaji.
 
mbona alijulikana the same day, ndio maana Sirro anazidi kujidhalilisha, hao ni majamaa wa bashite
Je! Kama hiyo ndiyo hali halisi inawezekana kandama mkuu hajui kweli au ndiyo kutii amri ya mungu mtakafujo?Eee Mungu wa mbinguni turehemu kwa mambo haya yanayotokea. Kweli shamelessly mtu anadiriki kusema hamjui wakati wamekuwa pamoja for so long? Basi twafwa. Hata huyo dereva naona anatakiwa ili awe bennylised tu
 
Hapo tumeshaunganisha dots......wauaji wetu na watelaji tunawajua kweli dunia hii hakuna siri tena!! Lisu akiziona picha na huyu sniper na huyu mwingine atasema kitu!! Uzuri hakuna siri chini ya jua na kwa polisi wa Tanzania.....pia ukitaka siri zaidi jina na mpango mzima....kwa wale masela kule selo wana data zote.....utashangaa mtandao wao mkubwa sana na unaingiliana na polisi wale wapiga deal wenzao....hakuna siri!!!! Aliepiga risasi Lisu aliendesha gari na hata posho waliolipwa itawekwa wazi siku moja!!!!........muda tuu
Kila kitu kinawezekana mkuu,maana huenda hata miongoni mwao kuna wasiofurahishwa na matendo maovu yanayoendelea.Lazima Mungu ana mjumbe wake mmoja,shetani hawezi kumiliki akili zote...Dunia hii haina siri kamwe
 
Polisi Wameomba Msaada Haya wamepewa Je mbwa Mkali ataung'ata Mkia wake?
Hii inafanana na kesi ya viongozi wa JF Polisi waliomba msaada wa kuwapata wakwepa kodi walipopewa taarifa kupitia JF watoa taarifa wakageuzwa kuwa waharifu! Pambaaaaf kabisa
 
Dah...aiseeeee...kuna watu wanakazi ngumu aiseee....kazi kama hizi nafikir huwa wanaishia kubaya au hawapati uzee wenye utulivu....
 
Kaka mkuu,kwahiyo "watu wasiojulikana" wanajulikana??,Mungu ibarki Tanzania
..wanajulikana sana tu kwani si wapo humu humu mitaani tunaishi nao na wanapiga chibuku kwenye hizi pub zetu humu humu kitaa ila wenye nchi yao na kina sirro wanataka kutuaminisha kuwa ni watu wasiojulikana...!
 
Muda si mrefu Watanzania wataanza kuiamini intelejensia ya Chadema kuliko intelejensia ya polisi. Hii itakuwa kashfa kwa jeshi letu la polisi.

Vv
 
Nimempenda mleta mada kajitungua kinamna yake
* ameitikia wito wa sirro bila chenga kwa hiyo hawana sababu za kumtafuta
* jamaa ni mpya kabisa hapa
* Nina uhakika kachukua tahadhari zote kabla ya kujitungua
* @ ya magumashi
* akiwa inter cafe
* id zote fake
Aah nimekukubali kamanda ni mawazo yangu tu laki katika kuunganisha doti.
Whistle blower = unknown
 
Dash shikamoo Tanzania
Najua aliyetoa hii taarifa kwa jinsi alivyodadavua aisee bila shaka anawafahamu hawa wahusika maana kaja na picha kabisa
Na nina uhakika Naye ni askari mwenzao
 
Sniper mhh
Hivi wale walomfyatulia lisu risasi so huwa wanaitwa masniper?
 
Kama ni hivyo Nape kwa nini asiende kumfungulia mashtaka huyo hery?

Hamjapata na video yake ya mwaka 2008?
Kabla hayajamkuta Mh Nape alikuwa na kauli kama hizi zako , subiri zamu yako ifike

CCM haijawahi kuwa na rafiki .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom