Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Mkuu distance ya mpiga picha wa camera flani,huwa inatofautiana na mpiga picha mwingine na distance ya mwingine na camera flani.Huyu ni mzee au kijana? ana sura Kama kobra
bila kumsahau Harmorapa naye alikuepo na alimuonaTunaangaika sanaaaa wakati Maulid alikuwepo nchi hii bwana
Maana kama wanamtaka dereva wa Lissu,hii kesi ni sawasawa maana hao nao walikuwepobila kumsahau Harmorapa naye alikuepo na alimuona
Huyo anaj ulikana fika tu kama Kum mark sura nape,kitenge na wengineo hapo washa mmarkAngalia hii picha ukiwa wewe na RC Makonda, Herry ni huyo hapo nyuma yenu.
huyu ndiye anadaiwa alimtolea Nape Nnauye bastola kule Oysterbay. Anaitwa Herry Kisanduku aka Kassimu Sniper.
Daniel Masimbusi ni yule aliyevaa tshirt nyeusi aliyekuwa anamsukuma Nape kwenye gari. muulize alikuwa wapi siku ya tukio la Lissu
FFU kalinda sana geti Ia Ikulu....maarufu sana GongolambotoUngetueleza huyo hery sniper ndio nani umetuacha solemba bado
Hapo ndo nimemkubali yaani kaja kuchoma yote then kasepa huyu ni sawa na Mruma apewe tuzo tafadhaliNamwamini mleta mada, na amekuja kwa sababu tu.
kwanza ni mwanachama Mpya kabisa kajiunga leo, hana pa kusemea amekuja kutupa ukweli, Sirro ,makonda na wenzenu, Siri ni ya Mtu mmoja, Mkiwa wengi hakuna siri, mtaumbuka siku sio nyingi