blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Hii kesi ni yamoto sana mengi ya taibuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Yule Mkuu Wa Kituo Cha Chamwino Mpaka Kesho Kimya Ndugu Zake Wanahaha Police Inajibu Mtoro KaziniShahidi alisema alitumia neno wameshamtupa. Kwa maoni yangu ni kwamba walimtesa hadi akafa na wakaamua kwenda kumtupa ili mwili wake usionekane. Kuna haja ya kuwatafuta ndugu zake wa karibu ili kujua huyu jamaa kama bado yuko hai, wanajua alipo na kama hawajui Serikali itwambie Watanzania yuko wapi.
Hii kesi itachochea chuki kati ya vitenge na khaki. Waifute tuu haina maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona picha ikizunguka mtandaoni watu wanaomba wamuone mahakamani naye apandishwe kizimbani.
Narudia tena: INADAIWA kuwa ndiye yeye.
View attachment 1955929
Utata umeibuka alipo mmoja wa watuhumiwa katika kesi ya kufadhili ugaidi inayomhusisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, aitwaye Moses Lijenge kama yuko hai au amefariki dunia.
Utata huo umeibuliwa leo Jumanne Septemba 28, 2021 na shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi, Mohamed Ling'wenya wakati akihojiwa na mawakili .
Shahidi huyo ambaye ni mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo anatoa ushahidi kwa lengo la kujiridhisha uhalali wa utoaji wa maelezo ya mshtakiwa wa pili, Adamu Kasekwa ambayo mawakili wa utetezi walipinga yasipokewe mahakamani kama kielelezo cha ushahidi upande wa mashtaka wakidai yalichukuliwa nje ya muda wa kisheria na mshtakiwa huyo alitoa maelezo hayo baada ya kuteswa na kutishiwa.
Awali, shahidi wa kwanza katika kesi ya msingi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Ramadhani Kingai aliieleza mahakama kuwa wakati wakiwakamata watuhumiwa wawili huko Moshi, mtuhumiwa wa tatu Lijenge hawakumpat, licha ya kumtafuta sehemu mbalimbali, hivyo wakaamua kuwapeleka Dar es Salaam watuhumiwa hao wawili.
Lakini katika ushahidi wake wa msingi jana, shahidi huyo alidai wakati wakitolewa kituo cha polisi kwenda Mbweni mmoja wa maaskari alimweleza kuwa mwenzake Moses Lijenge wameshamtupa kwa sababu alijidai kuwakimbia.
Alipohojiwa na wakili wa Mbowe, Peter Kibatala leo Jumanne shahidi huyo amedai alivyoelezwa na askari yule kuwa mwenzao Lijenge wameshamtupa alielewa kuwa ameshauawa.
Akihojiwa zaidi na Kibatala, Mohamed amedai hajawahi kumsikia akitajwa mahali popote na upande wa mashtaka kama Lijenge ataunganishwa katika kesi hiyo, hivyo hajui kwa hakika kama yuko hai au ameshafariki.
Kwa sasa shahidi huyo wa pili upande wa utetezi katika kesi ndogo anaendelea kuhojiwa na upande wa mashtaka kuhusiana na ushahidi wake.
Chanzo: Mwananchi 28. 09. 2021
Sirro awajibishwe kumleta Lijenje akiwa hai.
Sirro anawafahamu wasiojulikana. Kumbe wasiojulikana walikuwa chini yake.
Uzi huu mtamu kama HALWA! lakini sidhani kama utanusurika kuondolewa hapa JF.
Hii combination ingetiki, aisee mambo yangekua bam bam!! Kuna watu wangekimbilia faster kule waliko tutaka tuhamie.Hii ngoma ni wananchi na jw vs ccm polisi na serikali
Mkuu tutaweka pressure ya kutosha kwa hii Serikali na polisiccm hadi tuinier ukweli kuhusu huyu Mtanzania mwenzetu.
Lutein Urio si nimiogoni mwa mashahidi ya jamhuri?Tuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.
Hapo ni kwa kuanzia.
Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
Huyo si alihojiwa na Salim kikeke akasema Mbowe Ni gaidi na alikimbilia Nairobi baada ya kujua Kuna msala?Hii ishu sio ya mama ni ya enzi za JPM Ila Sasa kamuachia mama msala kisa chadema
BAK Mkuu itapendeza
Walikua na haja gani ya kumtesa Kama Ni shahidi upande wa Jamhuri?Lutein Urio si nimiogoni mwa mashahidi ya jamhuri?