Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Tuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.

Hapo ni kwa kuanzia.

Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
So sasa hivi hatumpiganii Mbowe Tena?
 
Wanaofanya uovu huu nao watalipa hapahapa Duniani
 
Huyo Komandoo mwenyewe amesema komando anaweza kupigwa na Askari na komandoo pia anaweza kumpiga askari,itategemea.

Amesema hapo mahakamani hizo stories mnazosikia khs makomandoo Ni za kwny movie za Rambo tu.
Amesema wapi
 
Nilipoona Awamu ile imemkimbila bwana Tolu harakaharaka na kutafuta uswahiba naye, nikajua ndio basi tena, yaliyokuwa hayamo yataanza kuwemo
 
Back
Top Bottom