Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

are they stupidity or stupid?
Sisi tumemuelewa lakini, after all kimekuja na Meli hichooo ndiyo maana Jenerali Ulimwengu ameshauri kuokoa elimu yetu vijana wafundishwe kwa kimatumbi mpaka University...
 
Kingai na Mahita inabidi wafikishwe The hague kwa makosa ya uhalifu wa kivita/Kimbari.
 
S
Hi issue inashangaza sana yaani ni udhalilishaji wa ajabu sana kisa chadema
Siasa za CCM ndio zimeharibu kila kitu,uzalendo wa kweli unakwenda unaisha na kubaki uzarendo bandia
 
Nadhani sijafatilia kwa undani naomba Kama Kuna anayeweza kunisaidia ilikuwaje Hawa wanajeshi Mpaka wakaunganishwa kwenye kesi ya mbowe, na je ilikuwaje mbowe akawa karibu na wanajeshi wakati wanajeshi inasemekana hawatakiwi kuwa na Chama chochote Cha siasa.

Je kesi ya mbowe kesi yake msingi wake ni upi tafadhali ( naomba nifahamishwe bila kujali kama anaonewa au hapana)
 
Hii nchi imejaa damu ya vilio nyingi sana. Ndio maana viongozi wamechanganyikiwa na laana ya kumwaga damu zisizo na hatia.
 
Tuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.

Hapo ni kwa kuanzia.

Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
Urio naye naona WALIKWISHA MTUPA, haya mapolisi ya CCM yamejaa laana sana.
 
Nadhani sijafatilia kwa undani naomba Kama Kuna anayeweza kunisaidia ilikuwaje Hawa wanajeshi Mpaka wakaunganishwa kwenye kesi ya mbowe, na je ilikuwaje mbowe akawa karibu na wanajeshi wakati wanajeshi inasemekana hawatakiwi kuwa na Chama chochote Cha siasa.

Je kesi ya mbowe kesi yake msingi wake ni upi tafadhali ( naomba nifahamishwe bila kujali kama anaonewa au hapana)
Hawa jamaa ni wanajeshi wastaafu na walikuwa mtaani wanaendesha maisha yao. Mbowe alikuwa anatafuta walinzi/body guards ndiyo kuna jamaa (naye mwana jeshi) akawainganisha na Mbowe. Kilichofuata hawa jamaa wakadakwa mwaka jana na mwaka huu Mbowe akaiunganishwa nao.
 
Back
Top Bottom