Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Kuna Yule Mkuu Wa Kituo Cha Chamwino Mpaka Kesho Kimya Ndugu Zake Wanahaha Police Inajibu Mtoro Kazini
 

Sirro awajibishwe kumleta Lijenje akiwa hai.

Sirro anawafahamu wasiojulikana. Kumbe wasiojulikana walikuwa chini yake.
 
Uzi huu mtamu kama HALWA! lakini sidhani kama utanusurika kuondolewa hapa JF.
 
Mkuu tutaweka pressure ya kutosha kwa hii Serikali na polisiccm hadi tuinier ukweli kuhusu huyu Mtanzania mwenzetu.

Sirro awajibishwe kumleta Lijenje akiwa hai.

Sirro anawafahamu wasiojulikana. Kumbe wasiojulikana walikuwa chini yake.
 
Tuko pamoja. Sirro asikie popote alipo. Tutawahitaji Lijenje na Luteni Urio wakiwa hai.

Hapo ni kwa kuanzia.

Tmewavumilia ya kutosha. Kama vipi tuuweni wote.
Lutein Urio si nimiogoni mwa mashahidi ya jamhuri?
 
Ni lazima Watanzania tuwe kitu kimoja katika kupigania haki na uhuru wa Watanzania wenzetu hata kama hatukuwahi kuwafahamu. Kwani huu udhalimu unazidi kushamiri kwa kasi kubwa sana na matendo ya kutisha. Tusingoje hadi sisi au wapendwa wetu waguswe ndiyo TUPAZE SAUTI ZETU kupinga huu udhalimu na dhuluma za KUTOTHAMINI maisha ya Watanzania na hivyo kuuawa kirahisi rahisi tu kama vile wanaua sisimizi.

BAK Mkuu itapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…