Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

Chuki siku zote hua kwa kapuku. Nashauri na wewe tafuta namna uwe tajiri uwe unasaini mikataba minono na kushika pesa, tofauti na hapo utaendelea kulia huku mitandaoni Hadi kiama.
Kwahiyo hapo ww umesaini mkataba wakuwa tajiri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…