Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

....nimewasikia na hilo tangazo lao hiyo j.3 watanikuta buzuruga nimepanga viatu vyangu waniue vizuri....wanataka kugeuza nchi kama Mali yao binafsi...sikuwa kujua kama Kuna wanawake wana roho mbaya namna hii duniani 🤔
 
Wangewaacha wa Makoroboi,hawa toka enzi na enzi wako hapo.
....sio makoroboi Tu nazani nchi nzima machinga wangepewa taarifa ya kutakiwa kuhama Kisha wakapewa miezi mitatu ya kujiandaa na Jambo hilo...Kisha watendaji wa serikali wakaanza kuaandaa maeneo rafiki na kuwapanga watu taratibu ndani ya mda huo....ajabu ya Samia tunafukuzwa bila kupewa maeneo yakuweka mabanda yetu kila sehemu ukienda wanasema pamejaa
 
....nimewasikia na hilo tangazo lao hiyo j.3 watanikuta buzuruga nimepanga viatu vyangu waniue vizuri....wanataka kugeuza nchi kama Mali yao binafsi...sikuwa kujua kama Kuna wanawake wana roho mbaya namna hii duniani 🤔
Mmachinga amatakiwa atembee na bidhaa zake maeneo tofauti akitafuta wateja na sio kukaa sehemu moja na kuweka kibanda, huyo si mmachinga bali ni mfanyabiashara na anatakiwa afuate taratibu na sheria zilizowekwa na Mamlaka husika.
 
MKUU NAULIZIA MREJESHO, VIPI JAMBO LENU MLIFANIKISHA
 
29 October 2021
Mwanza, Tanzania

Serikali kupata mapato zaidi Mwanza baada ya machinga kupangwa


Mapato ya kodi kuongezeka toka kwa wafanyabishara wa maduka baada ya operesheni ya kuwapanga machinga jijini Mwanza kupata mafanikio makubwa .....


Source : Wasafi Media
 
Mi-5 tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…