Safari, iliyojaa ahadi ambazo hazijatimizwa na vikwazo vya kifedha, imeacha sehemu za reli bila kukamilika na wafanyakazi wengi kuondolewa kwenye vipande vingi ambavyo ujenzi umesimama.
Kipande cha Mwanza-Isaka kilitakiwa kukamilika May 14 mwaka huu, huku Maendeleo ya kukamilika yakifikia 54.01 pekee na kuongeza wasiwasi juu ya ukamilishwaji wake kwa wakati. Kuchelewa kwa mradi huo pamoja na vipande vingine vinavyohusiana na SGR, kumechangiwa na changamoto za kifedha ambazo serikali inakabiliana nazo katika kumlipa mkandarasi CCECC kutoka Jamhuri ya Watu wa China ili kukamilisha kazi hiyo.
Hayo yanathibitishwa na baadhi ya wafanyakazi katika kambi mbalimbali za miradi wanaolalamikia kuachishwa kazi kwa vile walivyoambiwa na mkandarasi serikali haina fedha za kuwalipa.
Kipande cha Makutopora-Tabora pia katika mgogoro
Wengine waliokumbwa na hali hiyo ni wale wanaofanya kazi katika sehemu ya Makutopora hadi Tabora yenye urefu wa kilomita 368.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao, walifahamishwa kuwa hakutakuwa na kazi katika eneo hilo hadi watakapopigiwa simu, na tangu Septemba mwaka jana, zaidi ya watu 1,000 wameachishwa kazi.
Katika sehemu hii ya SGR, inayotekelezwa na mwanakandarasi Yapi Merkezi, mfanyikazi huyo anadai sababu ya kufukuzwa kwao ni serikali kukosa pesa za kumlipa mwanakandarasi.
Notisi kutoka kwa Yapi Merkezi iliyotolewa mnamo Mei 23, 2024, ilielekeza wafanyikazi wote kama ifuatavyo:
“Kuanzia Mei 23, 2024 hakuna kazi hadi utakapopewa taarifa na idara ya rasilimali watu na wakuu wa idara husika kurejea kazini tafadhali hakikisha simu yako inapatikana muda wote.
Source: The Citizen Tanzania
Pia soma zaidi: Tanzania’s SGR completion concerns rise amid broken promises
My Take:
Hii serikali lazima ijitathimini maana kuna wizi mkubwa sana wa pesa za umma katika kila sector, kiasi cha kupelekea mambo mengi sana kukwama kila mahala. Hali hii sio nzuri kwa ustawi wa maendeleo ya nchi. Pia Serikali inakopa pesa kwa mgomgo wa kuendeleza SGR lakini pesa hizo hazipelekwi sehemu tarajiwa na kuishiwa kuliwa na wahuni wengi waliopo kwenye serikali ya CCM.
Hii hali ikiendelea miradi yote ya kimkakati itaishia njiani na kuwa white elephant.