- Thread starter
- #81
Serikali lazima ibadili mtazamo, professionalism lazima iheshimiwe halafu wasiingize siasa kwenye mambo ya msingi na sheria lazima zifuatwe na kuheshimiwa na kila mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali lazima ibadili mtazamo, professionalism lazima iheshimiwe halafu wasiingize siasa kwenye mambo ya msingi na sheria lazima zifuatwe na kuheshimiwa na kila mtu.
Kabisa mkuu, nyani wanagombania mavuno kila sehemu palipo na umatemateNchi imekuwa ya hovyo haina mtu wa kusimamia kabisa
Alikuwa anakwiba hela za watu benki.Kipindi cha Marehemu aliwezaje kuendesha miradi na kipindi hiki mpemba anashindwa nini!??
Rasilimali inakuwa mali au utajiri halisi (disposable wealth) pale unapoigeuza kuwa mtiririko wa pesa taslimu (liquid asset) ambao ndio huingia moja kwa moja kwenye matumizi. Ndivyo Botswana walivyofanikiwa kutajirika kupitia rasilimali zao za madini na wanyama. Kwa usimamizi makini na wa hali ya juu kweli kweli.Kama raslimali siyo mali, basi nchi kama Botswana isingeendelea! Una mawazo mafinyu sana, na unashindwa kuangalia dunia inakwendaje iwapo reference yako yote ni kwenye ujenzi wa Tazara.
Rasilimali inakuwa mali au utajiri halisi (disposable wealth) pale unapoigeuza kuwa mtiririko wa pesa taslimu (liquid asset) ambao ndio huingia moja kwa moja kwenye matumizi. Ndivyo Botswana walivyofanikiwa kutajirika kupitia rasilimali zao za madini na wanyama. Kwa usimamizi makini na wa hali ya juu kweli kweli.
Sasa njoo hapa Tanzania. Tunajivunia madini yaliyoko ardhini na baharini. Mapori, misitu na wanyama. Vitu ambavyo tumeshindwa kabisa kuvigeuza kuwa utajiri halisi na kuutumia kujiletea maendeleo. Sababu? Uelewa mdogo wa wananchi, serikali ya kifisadi, mitaji haba. Matokeo? Hujuma na ufisadi mkubwa wa hizo rasilimali ghafi kwa kushirikiana na wawekezaji mafisadi. Wizi uliokithiri. Kudidimia kwa sekta binafsi nchini. Kufa kwa sekta ya uzalishaji wa msingi (primary industry). Mapato haba serikalini.
Kifupi rasilimali za Tanzania zimebakia jina tu kama za DRC, Angola, n.k. Hazina mchango wa maana kwenye uchumi. Zinatajirisha wawekezaji mafisadi wa nje, makampuni yanayoiuzia serikali mitambo na vifaa vya kiteknolojia (ndege, mitambo, magari etc.) na mafisadi wa ndani.
Sasa anapotokea mtu na kudai nchi hii ni tajiri sana. Ina rasilimali nyingi sana. HIVYO tutatumia hela za ndani kutekeleza miradi ya matrilioni ya shilingi kwa mkupuo, ni jambo la kushangaza sana. Ni aina ya utapeli wa fahamu za umma. Hizo hela hazipo. Hiyo dhana ya fedha za ndani is just an illusion (Imagination).
Sasa kwa nchi ambayo miaka yote bajeti ya serikali hutegemea wafadhili kwa zaidi ya 80%. Ambayo hata matumizi ya kawaida ya serikali yanasuasua kwa kutegemea makusanyo ya ndani - hayatoshi. Halafu ghafla muanzishe miradi ya matrilioni kwa mpigo - kwa ndoto ya “rasilimali”, huku utamaduni wa ufisadi ukiendelea, lazima uchumi uyumbe sana. Ndio maana awamu hii inakopa kweli kweli with no end in sight! Na hazitoshi wala hazitatosha.
Unapenda sana nadharia na simulizi za kupendeza? Sawa.Selewi mantiki ya post yako hii; ina maelezo shallow sana ambayo ni obvious sana labda hukuwa unaelewa post yangu huko nyuma ilisemaje.
Wakati JPM anayabana makampuni hayo ya madini yalipe kodi serikalini ambazo ndizo zingetumika kujenga miradi hiyo, kuna watu waliosema tutashitakiwa tuyaache makampuni yachukue madini na kuondoka tu. Iwapo makampuni yote yakilipa kodi zao halali serikalini bila udanganyifu au ubadhirifu wowote, miradi yote hiyo itakamilika bila stress yoyote wala kitegemea misaada kutoka nje
Utakuwa ni mmoja wa wale wanonapenda vile ambavyo waswahili wanasema "vya kunyonga" kwani inelekea hujui kuwa kuna kuchinja. Ukiambiwa kuchinja basi wewe unaona hiyo ni "nadharia."Unapenda sana nadharia na simulizi za kupendeza? Sawa.
Sawa. Endelea na huko “kuchinja”. You’re surely entitled to it.Utakuwa ni mmoja wa wale wanonapenda vile ambavyo waswahili wanasema "vya kunyonga" kwani inelekea hujui kuwa kuna kuchinja. Ukiambiwa kuchinja basi wewe unaona hiyo ni "nadharia."