Inadaiwa kuwa serikali ya Tanzania imeishiwa pesa na kuongeza wasiwasi wa kukamilika kwa SGR huku kukiwa na ahadi za uongo

Mngewatangazia Watanganyika wajue. Waache kulalamika miradi inasimama kumbe sio kipaombele kwa sasa.

Mradi wowote ukisimama ujue ni hasara kwa pesa iliyotumika kuwekezwa ktk mradi usioleta tija wala faida au mapato yoyote

pia mradi utaendelea kutengeneza hasara kwasababu ya gharama za usimamizi
 
Hicho si kitu cha kushtua tukiishiwa tunakopa na mabo yanaendlea kama kawa..
 
Mambo ya kukurupuka kuanzisha miradi kwa lengo la kupiga 10% matokeo yake ndiyo haya sasa,mtu anawaaminisha watu kwamba nchi yetu ni tajiri ilhali akijua ni uongo mtupu na watu walivyokuwa majuha wanashangilia tu.
 
Wamewahomea kuachia.....wataendrlea waturuki....mama alienda Turkey kuomba wasiuze kazi....
Lakini mbona wametoa notice ya kusimamisha wafanyakazi wake wote? lazima kutakuwa na jambo
 
Hicho si kitu cha kushtua tukiishiwa tunakopa na mabo yanaendlea kama kawa..
Lakini kumbuka pia project cost ita-skyrocket sababu ya delay ambayo sio ya mkandarasi Pamoja na interest........so inakuwa ni wastage of money ambazo zingetumika kutatua changamoto zingine zinazolikabili taifa
 
Mama anaupiga mwingi sana.
Hakika mama anaupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…