Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Huyo dogo hata huo mstari hakusoma kuwa ilikuwa yalata siku 4 Lazaro yu kaburini, Yeye anakuja na ngonjera za saa 72.Yohana 11: 17 Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne.
Bwana Yesu alilia machozi zaidi ya mara tatu kabla ya kumfufua Lazaro.
Ukishatawaliwa na Serikali ya CCM halafu ukasnza kuzindika kwa mbaali haya ndiyo huwa maluweluwe yanayokuwa yanakupata, hii ni kwa mtu yeyote yule.Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Kwa sayansi ya muda huo unahakikisha vipi mtu amefariki?Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Alikuwa kaburini yeye anawaza kuwa alikuwa mortuaryHuyo dogo hata huo mstari hakusoma kuwa ilikuwa yalata siku 4 Lazaro yu kaburini, Yeye anakuja na ngonjera za saa 72.
Halafu alipokuwa amelala, akakaa kaburini karibu wiki, bila hewa, maji na Chakula, akaanza kuoza na kunuka, halafu Yesu alipofika Kaburini akamwita, akasikia, akastuka, akaamka, akajifungua kwenye sanda iliyokuwa imemfunga na akatoka kaburini!!!Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Ungewakazania hao waliosema hayo wakupe hiyo dawa tuijaribu humu JF.Angechaguliwa memba mmoja ili jaribio liendelee.Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Mtu aliyelala usingizi kwa zaidi ya siku saba na kuoza, kama hakuwa amekufa kabla basi atakufa huko huko usingizini. Hawezi kuamka milele.Kwa sayansi ya muda huo unahakikisha vipi mtu amefariki?
Naona umeamka bila kutoa Tongo tongoWadau hamjamboni nyote?