King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ni Nyalandu.Au Lazaro mambosasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Nyalandu.Au Lazaro mambosasa
Lazaro wa Bethania ndugu wa Maria na Martha rafiki wa Yesu alikufa na Yesu mwana wa Mungu alimfufua.Ni Nyalandu.
Sawa Lazaro hakufa.Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Mjinga Mmoja wee.Wadau hamjamboni nyote?

Lakin huo mstari bado hauja thibitisha kabisa kuwa Lazaro alikufa, maana mstari unasema razaro amelala kaburini Kwa siku 4,Huyo dogo hata huo mstari hakusoma kuwa ilikuwa yalata siku 4 Lazaro yu kaburini, Yeye anakuja na ngonjera za saa 72.
Lakini kuna somo la historia, kuna jambo linaitwa historicity.Wala siwezi thibitisha kwamba kulikuwepo hata na hiyo zamani yenyewe achia mbali watu walioishi zamani na matendo yao.
Muhimu hakuna uthibitisho historia zote zinakosa uhalali au wewe unaweza kuthibitisha dagama alizunguka dunia nzima??Lakini kuna somo la historia, kuna jambo linaitwa historicity.
Unaelewa historicity ni nini?
Sasa kwa taarifa yako yesu aliyajua yote haya ndio maana akafanya makusudi kuchelewa siku nne ili nyie msio na Imani muaibike.Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Nimekuuliza unajua historicity ni nini, hujajibu.Muhimu hakuna uthibitisho historia zote zinakosa uhalali au wewe unaweza kuthibitisha dagama alizunguka dunia nzima??
kwahyo wewe mwerevu kulala kaburini siku 4 maana yake nini?Lakin huo mstari bado hauja thibitisha kabisa kuwa Lazaro alikufa, maana mstari unasema razaro amelala kaburini Kwa siku 4,
Je kulala kaburini Ndio kufa ?
Mbona kisukari mzee,ugonjwa mwingine mbaya ni kujisikia tu kwamba unawezakuwa unajua kuliko mwingine.Nimekuuliza unajua historicity ni nini, hujajibu.
Wewe ni mjinga, kibaya zaidi, ni mjinga mbishi.
You are making a non sequitur logical fallacy and false equivalence.
Unalinganisha Vasco da Gama na Lazaro.Mbona kisukari mzee,ugonjwa mwingine mbaya ni kujisikia tu kwamba unawezakuwa unajua kuliko mwingine.
Swali si lazima lijibiwe unavyotaka,muhimu jibu lipatikane.
Unauliza historia na maana yake,lakini sijui kama unajua moja ya misingi yake ni maandishi,ambayo hutaki kabisa kuyapokea,kwanini tusiende na aina yako ya kufikiri ambayo kumbe hata wewe huitaki😁😁😁.
Embi kapumzike bana.
Kwani hawa wote umewajuaje mkuu??Unalinganisha Vasco da Gama na Lazaro.
Mpaka hapo ushajionesha mjinga.