Inadaiwa Lazaro hakufa bali alipewa dawa akalala usingizi mzito, baada ya saa 72 akaziduka huku Yesu akija na kudai kumfufua

Waafrika tunasumbuka sana na hadithi za wayahudi.. as if kuna myahudi hata mmoja ana interest na story za watu kama Ng'wanamalundi au Ondeto wa Kenya.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi

Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!

Wanadai kuwa

Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu

Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!

Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua

Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Usingizi kwa masaa 72??
Na baada ya hapo akaendekea kuishi??
 
Halafu alipokuwa amelala, akakaa kaburini karibu wiki, bila hewa, maji na Chakula, akaanza kuoza na kunuka, halafu Yesu alipofika Kaburini akamwita, akasikia, akastuka, akaamka, akajifungua kwenye sanda iliyokuwa imemfunga na akatoka kaburini!!!
Hiyo sayansi ni kiboko.
Na wale wote wanaoweza kuamini kuwepo kwa hiyo sayansi ni wendawazimu wa kiwango cha SGR
Kama movie la Kihindi vile😁😁
 
Tafiti vs Mapito... Nataka kuona kitu hapa.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi

Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!

Wanadai kuwa

Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu

Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!

Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua

Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Unaamini wanaodai
 
Back
Top Bottom