Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Waulize waliokuwa wanazika wafuKwa sayansi ya muda huo unahakikisha vipi mtu amefariki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize waliokuwa wanazika wafuKwa sayansi ya muda huo unahakikisha vipi mtu amefariki?
Hilo unalosema la kazi ya mikono yake hutoweza kulithibitisha kamwe kwani limeegemea kwenye nadharia ya yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu. Tangu mwanzo nilikuambia wazi kabisa kuwa wanaoamini na wasioamini uwepo wake wanaweza kuwa sahihi au la. Mwisho linabaki ni suala la mtu binafsi, ukiamua kuamini yaliyoandikwa kwenye hivyo vitabu hakuna atakayekubadilisha kamwe.Huwezi kuthibitisha chanzo cha "uhai" na viumbe hai, lakini unaweza kusema kwa kujiamini hakuna MUNGU. Hii ni ajabu sana.
Mimi naweza kuthibitisha uwepo wa MUNGU kutukana na kazi za mikono yake. The whole universe na viumbe vyote vilivyomo ni kazi za mikono ya MUNGU.
Mfano, gari ni kazi ya mikono ya Mwanadamu. Gari ni uthibitisho kuwa Mwanadamu yupo na anaishi
Kazi za mikono Yake zinathibitisha uwepo wake hata kama hatumwoni YEYE moja kwa moja.
Alisema yeye ndiye aliyeumba viumbe vyote, dunia na ulimwengu wote. Sasa wewe kama unakataa unasema siyo kweli njoo na uthibitisho kuwa MUNGU hayupo na hakuumba chochote.
Huwa sipendi sana kuwa sehemu ya mijadala inayohusu haya mambo ya kiimani. Utakuwa sahihi kabisa kuamini unachokiamini, na wengine wako sahihi kabisa kuamini wanachoamini. Ngoja tujikite kwenye mada zingine zinazoweza kujadilika.kwahiyo lawama unairudisha kwake sio kwa wafuasi wake tena😁😁😁.
Josephus alitenda muujiza gani mkubwa sana kumzidi Yesu??
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Mkuu wewe endelea kuamini kwani utakuwa hujakosea chochote kile. Waliokuja kuicompile hiyo biblia unayoisoma leo walifanya yao ya kutosha. Hii mijadala huwa haina afya kwa watu walioamua kutumia fikra zao vizuri.Yaani tusikilize hadithi za jirani yako na kuziamini zaidi kuliko za mkeo na wanao unaoishi nao???
Fine,alikuwa mtazamaji wa mbali.
Kwani ni yeye peke yake aliyekuwa si mwanafunzi wake???vipi na wengine waliokuaa watazamaji tu wameandika sawa na alivyoandika yeye!!!
Tuna mtu kama Muhammad aliyekuja karne ya 7 baadae,akaja na madai tofauti na ya paul,bahati mbaya akajikuta anajikanganya na anayedai ni Mungu aliyemtuma.
Miaka 500 ijayo kuna mtu atakuja kusoma kitabu cha maisha ya nabii mtume mwamposa na atakizingatia kwamba kulitokea huyu mtu alitenda miujiza mingi mno,maelfu kwa maelfu walipona kupitia yeye,na atakuwa pia anabishana na wanaodai kulikuwa na Yesu.Huwa sipendi sana kuwa sehemu ya mijadala inayohusu haya mambo ya kiimani. Utakuwa sahihi kabisa kuamini unachokiamini, na wengine wako sahihi kabisa kuamini wanachoamini. Ngoja tujikite kwenye mada zingine zinazoweza kujadilika.
Radhi chafu za wazee wako + Bange + mataputapu unayokunywa sasa umekuwa mwehu kamali!Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Litakuwa na radhi za wazazi hiliUmekula ugali umeshiba unaanza kumdhihaki anayekupa pumzi
Hao pia unaoamini walifanya yao ya kutosha,bado pia ni story ulizosimuliwa au kuandikwa sehemu ukasoma.Mkuu wewe endelea kuamini kwani utakuwa hujakosea chochote kile. Waliokuja kuicompile hiyo biblia unayoisoma leo walifanya yao ya kutosha. Hii mijadala huwa haina afya kwa watu walioamua kutumia fikra zao vizuri.
Kwa wanaojua na kuisoma historia vyema, hakuna atakayepinga uwepo wa Yesu. Vitabu vyote vya historia, thiolojia pamoja na hiyo biblia vinakubaliana na hilo. Tofauti ya msingi ni pale ambapo baadhi wanaamini alikuwa ni mwana wa Mungu na wanaojua kuwa alikuwa ni binadamu wa kawaida tu akiihubiri habari njema kwa watu wa taifa lake.Miaka 500 ijayo kuna mtu atakuja kusoma kitabu cha maisha ya nabii mtume mwamposa na atakizingatia kwamba kulitokea huyu mtu alitenda miujiza mingi mno,maelfu kwa maelfu walipona kupitia yeye,na atakuwa pia anabishana na wanaodai kulikuwa na Yesu.
Mkuu kumbuka wanaoiamini hiyo injili ni takribani theluthi moja tu ya binadamu wote. Wanaomuamini huyo Yesu kuwa ni mwana wa Mungu (1/3) hawatofautiana sana kwa idadi na wanaoamuamini mtume Muhamad (1/3), na hawana tofauti ya idadi na wale wanaoamini kwa mitume wengine na wale wasioamini kabisa kwa chochote (1/3).Hao pia unaoamini walifanya yao ya kutosha,bado pia ni story ulizosimuliwa au kuandikwa sehemu ukasoma.
Namna ambavyo umekosa nguvu kuamini injili,ndivyo ambavyo ulitakiwa kukosa nguvu ya kuamini hizo story nyingine.
Kuna faida kubwa kusoma sana,ila tu iwe ni kwa lengo la kuelimika,sio kuhangaika ili uonekane kwa watu umesoma vingi,utakuwa unaonekana mwehu maeneo mengi,maana utaokota okota mpaka ambavyo havikufai.
kuna watu wamepata kupita ktk kila jamii hapa ulimwenguni,wenye ushawishi kwa jamii zao,lakini jamii zote kila wanaposikia habari za Yesu kwa mara ya kwanza wanaona zina mashiko zaidi.Kwa wanaojua na kuisoma historia vyema, hakuna atakayepinga uwepo wa Yesu. Vitabu vyote vya historia, thiolojia pamoja na hiyo biblia vinakubaliana na hilo. Tofauti ya msingi ni pale ambapo baadhi wanaamini alikuwa ni mwana wa Mungu na wanaojua kuwa alikuwa ni binadamu wa kawaida tu akiihubiri habari njema kwa watu wa taifa lake.
Na ujue kuwa hizi imani na namna ya kumuabudu huyo Mungu zilikuwa ni tofauti toka jamii moja kwenda nyingine na zilikuwa ni sehemu kuu ya tamaduni za jamii husika. Kuna jamii mpaka leo zinawaamini mitume waliotokea kwenye jamii zao na kamwe hamzimtambui huyo Yesu kuwa ni mwana wa Mungu, ingawa jamii zote zinakubaliana na uwepo wa huyo Mungu kwa namna na desturi zao wenyewe.
Mkuu uwe na jioni njema, naingia lindoni leo niko zamu ya usiku.kuna watu wamepata kupita ktk kila jamii hapa ulimwenguni,wenye ushawishi kwa jamii zao,lakini jamii zote kila wanaposikia habari za Yesu kwa mara ya kwanza wanaona zina mashiko zaidi.
Wapo waliojaribu kumkataa,kwa kujenga hoja kama za kwako,mara wapo waliomzidi sifa,hivyo yeye pia wa kawaida tu alipaishwa.
Swali linawezakuwa gumu tena,alipaishwa kwa faida ya nani??ya kwake au ya wapaishaji??na wamepata faida gani kwa jambo hilo!!!
Theluthi moja ya huu ulimwengu ni idadi kubwa sana ukilinganisha na kundi lolote linalofanana mtizamo kuwahi kutokea toka dunia iumbwe.Mkuu kumbuka wanaoiamini hiyo injili ni takribani theluthi moja tu ya binadamu wote. Wanaomuamini huyo Yesu kuwa ni mwana wa Mungu (1/3) hawatofautiana sana kwa idadi na wanaoamuamini mtume Muhamad (1/3), na hawana tofauti ya idadi na wale wanaoamini kwa mitume wengine na wale wasioamini kabisa kwa chochote (1/3).
Ni suala la kuamua kuzitumia vyema akili zako au kuziachia ziwe controlled na wengine, ni suala la kuangalia mambo haya kwa kuwa na open mind na si vinginevyo.
Hii bado ni tatizo😅😅,wapwa watahoji hizo taarifa umezitoa wapi??na kwanini uziamini wakati ziko ktk misingi mibovu ya kukosa evidence kama hizo unazozihoji???Yaani unatengeneza conspiracy kwa kuiwekea ugumu zaidi....; Binafsi nadhani ingekuwa rahisi tu ungesema wanachosema kilitokea hakikutokea..., after all hakuna any factual evidence kama wanachosema kilitokea kweli kilitokea
ChaiWadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kisungura kitu kibaya Sana.
Labda unamuongelea Lazzaro Mnyepe.
Chai.Umekula ugali umeshiba unaanza kumdhihaki anayekupa pumzi
ukishaamini kuna hizo dawa na it was an actual historical event bora uamini tu mpaka mwisho... ; hata leo hii kuna watu wanaamini kuna mitunge na watu wanapatikana baada ya kufa na kuzikwa kwa miaka kadhaa sasa huoni hapo kwa wewe kuuliza hili ni kama unataka mtu achague Kekundu wakati umemziba macho na haoniHii bado ni tatizo😅😅,wapwa watahoji hizo taarifa umezitoa wapi??na kwanini uziamini wakati ziko ktk misingi mibovu ya kukosa evidence kama hizo unazozihoji???