blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Kwanini unafikiri hakufufuka? je Mungu si nimuweza wayote?Yesu alikufa kwa kuwambwa msalabani, ila kwenye kufufuka tulipigwa changa la macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unafikiri hakufufuka? je Mungu si nimuweza wayote?Yesu alikufa kwa kuwambwa msalabani, ila kwenye kufufuka tulipigwa changa la macho.
Wala sifikiri kuwa hakufufuka, bali ndio ukweli wenyewe, vipo vitabu kadha wa kadha nje ya hizo injili vilivyoandikwa na watu ambao hawakuwa wafuasi wa Yesu.Kwanini unafikiri hakufufuka? je Mungu si nimuweza wayote?
Mungu hadhihakiwi ndugu yangu.......Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Kwa hiyo unaacha kuamini kitabu cha mfuasi wa Yesu unaenda kuamini kitabu cha mfuasi wa vitu vingine?Wala sifikiri kuwa hakufufuka, bali ndio ukweli wenyewe, vipo vitabu kadha wa kadha nje ya hizo injili vilivyoandikwa na watu ambao hawakuwa wafuasi wa Yesu.
Kwa nini nikiamini kitabu cha mfuasi wa Yesu na wakati siamini kama huyo Yesu alikuwa ni mwana wa Mungu. Ninachojua Yesu alikuwa ni mtume na muhubiri wa habari za huyo Mungu wake kama walivyokuwa wengi kabla na baada yake.Kwa hiyo unaacha kuamini kitabu cha mfuasi wa Yesu unaenda kuamini kitabu cha mfuasi wa vitu vingine?
Shida iko kwako
Angalia hapo nilikuwekea andiko linalosema Mafarisayo walitoa pesa kwa walinzi ili wasiseme kama Yesu alifufuka, kwahiyo hawatashindwa kuandika vitabu ambavyo vitasema Yesu hakufufuka. Kumbuka dunia inaongozwa na nguvu mbili ya WEMA NA UOVU.Wala sifikiri kuwa hakufufuka, bali ndio ukweli wenyewe, vipo vitabu kadha wa kadha nje ya hizo injili vilivyoandikwa na watu ambao hawakuwa wafuasi wa Yesu.
Kama hujui jina uoni unafurahisha tu gengeCjui inaitwaje
unapotosha kwasababu umetumwa na baba yako shetani ambaye ni baba wa uongo. Neno la Mungu limethibitishwa.Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Tatizo ni kuwa haya masuala ya imani ni very personal, inakuwa ngumu sana kufikia muafaka kama kila mtu ana mtizamo wake. Hili hunifanya nijitahidi sana kukwepa mijadala hii ya masuala ya imani. Mimi najua kabisa kuwa Yesu alikuwa ni binadamu wa kawaida kabisa kama nilivyo mimi na wewe. Ila nawaheshimu sana wale wanaoamini kuwa Yesu alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu na kwa aliletwa na baba yake (Mungu).Angalia hapo nilikuwekea andiko linalosema Mafarisayo walitoa pesa kwa walinzi ili wasiseme kama Yesu alifufuka, kwahiyo hawatashindwa kuandika vitabu ambavyo vitasema Yesu hakufufuka. Kumbuka dunia inaongozwa na nguvu mbili ya WEMA NA UOVU.
Upo sahihi lakini kuna kitu mfano kwanini dunia inauovu? na kwanini tunakufa? kwanini tusingeishi milele tu na dunia iwe bila uovu?Tatizo ni kuwa haya masuala ya imani ni very personal, inakuwa ngumu sana kufikia muafaka kama kila mtu ana mtizamo wake. Hili hunifanya nijitahidi sana kukwepa mijadala hii ya masuala ya imani. Mimi najua kabisa kuwa Yesu alikuwa ni binadamu wa kawaida kabisa kama nilivyo mimi na wewe. Ila nawaheshimu sana wale wanaoamini kuwa Yesu alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu na kwa aliletwa na baba yake (Mungu).
Haya maswali yote yalishindwa kujibiwa na mababu zetu na jibu rahisi walilofikiria ni kuwa kuna kitu (Mungu) anayecontrol yote hayo. Na inawezekana kabisa hawakuwa sahihi hata kidogo, kwani hata leo hatuna majibu mengine zaidi ya kumsakizia huyo Mungu ambaye kiuhalisia alitengenezwa na wazee wetu waliokosa majibu ya hayo maswali.Upo sahihi lakini kuna kitu mfano kwanini dunia inauovu? na kwanini tunakufa? kwanini tusingeishi milele tu na dunia iwe bila uovu?
Eti hakuna MUNGU? Kama hakuna MUNGU tuambie uhai na viumbe vyote hai vilitoka wapi?Haya maswali yote yalishindwa kujibiwa na mababu zetu na jibu rahisi walilofikiria ni kuwa kuna kitu (Mungu) anayecontrol yote hayo. Na inawezekana kabisa hawakuwa sahihi hata kidogo, kwani hata leo hatuna majibu mengine zaidi ya kumsakizia huyo Mungu ambaye kiuhalisia alitengenezwa na wazee wetu waliokosa majibu ya hayo maswali.
Binafsi sikuwepoWadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Mimi kushindwa kuthibitisha hakuhalalishi uwepo wake. Hata wewe nikikuambia uthibitishe uwepo wake hutoweza kamwe, zaidi utaishia kufanya marejeo ya hivyo vitabu vyenu tu. Ndio maana nilikwambia hili ni suala very personal, kila mtu akibaki na anachokiamini bila kusumbua wengine, dunia itakuwa nzuri sana.Eti hakuna MUNGU? Kama hakuna MUNGU tuambie uhai na viumbe vyote hai vilitoka wapi?
Kaburi lipo. Mimi nimefika huko na kuliona pamoja na kaburi alilozikwa Yesu mwenyewe. Wahujaji mnaingia wachache wachache kwa ajili ya ufinyu wa nafasi.Hata hilo kaburi la Lazaro wanalijua lilipo ? Wajinga hao
Huwezi kuthibitisha chanzo cha "uhai" na viumbe hai, lakini unaweza kusema kwa kujiamini hakuna MUNGU. Hii ni ajabu sana.Mimi kushindwa kuthibitisha hakuhalalishi uwepo wake. Hata wewe nikikuambia uthibitishe uwepo wake hutoweza kamwe, zaidi utaishia kufanya marejeo ya hivyo vitabu vyenu tu. Ndio maana nilikwambia hili ni suala very personal, kila mtu akibaki na anachokiamini bila kusumbua wengine, dunia itakuwa nzuri sana.
Yaani tusikilize hadithi za jirani yako na kuziamini zaidi kuliko za mkeo na wanao unaoishi nao???Tatizo walioandika hayo yote walikuwa ni wale inner circle ya Yesu, inawezekana kabisa wakashuhudia uongo ili kuhalalisha walichokuwa wakikiamini kwa waliyekuwa wakimfuata na kumtii. Ukisoma maandiko ya wengine wa nyakati hizo (waliokuwa si wanafunzi wa Yesu) kama ya Josephus utaona hadithi tofauti tofauti.
kwahiyo lawama unairudisha kwake sio kwa wafuasi wake tena😁😁😁.Kwa nini nikiamini kitabu cha mfuasi wa Yesu na wakati siamini kama huyo Yesu alikuwa ni mwana wa Mungu. Ninachojua Yesu alikuwa ni mtume na muhubiri wa habari za huyo Mungu wake kama walivyokuwa wengi kabla na baada yake.
Na walikuwepo kabla yake kama akina Josephus waliotenda miujiza mikubwa kuliko hata yeye na hawakuwahi kujisingizia kuwa wametoka kwa Mungu.