GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Bora na wewe umeliona hilo!Kwa hiyo unaacha kuamini kitabu cha mfuasi wa Yesu unaenda kuamini kitabu cha mfuasi wa vitu vingine?
Shida iko kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora na wewe umeliona hilo!Kwa hiyo unaacha kuamini kitabu cha mfuasi wa Yesu unaenda kuamini kitabu cha mfuasi wa vitu vingine?
Shida iko kwako
👏👏👏Kaburi lipo. Mimi nimefika huko na kuliona pamoja na kaburi alilozikwa Yesu mwenyewe. Wahujaji mnaingia wachache wachache kwa ajili ya ufinyu wa nafasi.
Swali zuri sana! BWANA apewe sifa!kuna watu wamepata kupita ktk kila jamii hapa ulimwenguni,wenye ushawishi kwa jamii zao,lakini jamii zote kila wanaposikia habari za Yesu kwa mara ya kwanza wanaona zina mashiko zaidi.
Wapo waliojaribu kumkataa,kwa kujenga hoja kama za kwako,mara wapo waliomzidi sifa,hivyo yeye pia wa kawaida tu alipaishwa.
Swali linawezakuwa gumu tena,alipaishwa kwa faida ya nani??ya kwake au ya wapaishaji??na wamepata faida gani kwa jambo hilo!!!
Alifufuka kwa staili gani ?Halafu alipokuwa amelala, akakaa kaburini karibu wiki, bila hewa, maji na Chakula, akaanza kuoza na kunuka, halafu Yesu alipofika Kaburini akamwita, akasikia, akastuka, akaamka, akajifungua kwenye sanda iliyokuwa imemfunga na akatoka kaburini!!!
Hiyo sayansi ni kiboko.
Na wale wote wanaoweza kuamini kuwepo kwa hiyo sayansi ni wendawazimu wa kiwango cha SGR
Unachokizungumza ni uongo, yesu hajawahi kuwa mwanadamu, ni andiko lilitokana na damu ya kichungaji(priest), mchungaji anadai alishukiwa na malaika kutoka mbinguni akamuona yesu ndotoni, mwana pekee wa Mungu atakayeshushwa kuukomboa ulimwengu, kutoka Kwa mtawala mrumi, chuki ilienezwa Kila mahala juu ya uovu wa mrumi (higher class) by lower class na yesu pekee mwenye huruma ndie atakuja kuukomboa ulimwengu, Sina uhakika kama alikuja, lakini dini ya chuki na masimango, I mean Christianity ndio ilizaliwa rasmi,...Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya