Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
- Thread starter
- #101
Hakuna tunasubiri maoni yakoSAWA. KUNA JINGINE TENA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tunasubiri maoni yakoSAWA. KUNA JINGINE TENA?
Changia mada husikaMambo ya Imani huwa ni mazito sana...
Ni kama unavyoweza kujiuliza, Wale wote waliokufa kabla ya Mtume Muhammad kuueneza Uislamu, ina maana hawakuzikwa na Dini Wala hakukuwa na Waislamu Hapo kabla??
Nashauri tumfanyie Lucas Mwashambwa ili ht akifa kwa bahati mbaya tusiwe tumepata hasaraUngewakazania hao waliosema hayo wakupe hiyo dawa tuijaribu humu JF.Angechaguliwa memba mmoja ili jaribio liendelee.
Hakuna aliemuhoji lazaro aliona nini huko baada ya kifo chakeYohana 11: 17 Basi Yesu alipofika, alimkuta amekwisha kuwamo kaburini yapata siku nne.
Bwana Yesu alilia machozi zaidi ya mara tatu kabla ya kumfufua Lazaro.
Mhh tuache haya mamboWadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Hujawahi kusikia mambo ya shake well before use it?Changia mada husika
Story za wahuni wa Roma😁Yohana 11: 38 Basi Yesu, hali akiugua tena nafsini mwake, akafika kwenye kaburi. Nalo lilikuwa ni pango, na jiwe limewekwa juu yake. 39 Yesu akasema, Liondoeni jiwe. Martha, dada yake yule aliyefariki, akamwambia, Bwana, ananuka sasa; maana amekuwa maiti siku nne. 40 Yesu akamwambia, Mimi sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? 41 Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia. 42 Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma. 43 Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
-----------
Unataka ushahidi gani zaidi ya maandiko hayo yanavyo shuhudia???
Maandiko yanasema wazi Lazaro alikuwa maiti siku nne, Lazaro alikuwa maiti inanuka (imeanza kuoza)
Acha story za vijiweni mwamini Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wako
Kwamba hao ndo wanazuoni, rudi kasome upya maana ya wanazuoniKesha sema wana zuoni yaaan mashekhe na ma ustadh.
Wakristo hatumii sana hilo neno ika wa islam ndo wanatumia sana.Kwamba hao ndo wanazuoni, rudi kasome upya maana ya wanazuoni
Kutotumia sana neno hilo hakulifanyi liwe neno la kundi fulani. Olemola ngoshaWakristo hatumii sana hilo neno ika wa islam ndo wanatumia sana.
Mleta mada ana hoja, asikilizweKisungura kitu kibaya Sana.
Labda unamuongelea Lazzaro Mnyepe.
Utashambuliwa, ila uliloliwakilisha linaweza kuwa na ukweli mkubwa kabisa.Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
"Inadaiwa na nani" Hz akili hzWadau hamjamboni nyote?

Naona umebambikiwa sentensi na bahati mbaya fuvu liko empty ukaleta humu bila tafakuriWadau hamjamboni nyote?
Haya ni madai mapya kuyasikia japo ni yamekuweoi kwa Karne nyingi
Baadhi ya wanazuoni wanadai kuwa Lazaro rafikiye kipenzi na Bwana Yesu hakufa kweli japo ni kweli alizikwa!
Wanadai kuwa
Kilichotokea ni matumizi ya sayansi ya asili ya hali ya juu kabisa lengo kuwaaminisha uwezo wa Yesu
Kuwa Lazaro alipewa tu dawa maalumu ya kunywa ilomfanya apate usingizi mzito uliodumu masaa 72 na hivyo kuwafanya watu waamini kuwa amekufa!
Kuwa baada ya masaa hayo 72 ndipo Bwana wetu Yesu Kristo akaja na kutenda huo muujiza wa kumfufua
Ndugu zangu wenye elimu naomba mtujuze ukweli wa madai haya
Tatizo walioandika hayo yote walikuwa ni wale inner circle ya Yesu, inawezekana kabisa wakashuhudia uongo ili kuhalalisha walichokuwa wakikiamini kwa waliyekuwa wakimfuata na kumtii. Ukisoma maandiko ya wengine wa nyakati hizo (waliokuwa si wanafunzi wa Yesu) kama ya Josephus utaona hadithi tofauti tofauti.Yaani wewe wa leo ndio unajifanya unaweza kuthibitisha kulala, kufa au kuoza kwa mtu. Acha hizo, huo ni utoto.
Hata Mwamposa anaponya magonjwa yaliyokosa tiba na wafuasi wake wanashuhudia kupona.Yule mwamba wa Nazareth alifanya vitu vikubwa ambavyo mpaka leo wanasayansi hawana majibu. Hii ni mifano michache:
1. Alifufua wafu na mwisho akajifufua na yeye!
2. Alitembea juu ya maji na akamwambia Petro atembee juu ya maji naye akatembea.
3. Aliponya magonjwa yaliyokosa tiba.
Yesu alikufa kwa kuwambwa msalabani, ila kwenye kufufuka tulipigwa changa la macho.Wakana Mungu wana hila sana huo uzushi siyo kwa Lazaro tu hata Yesu wanadai hakufa na hiyo hata leo wapo wanao amini hivyo.
mfano kuna andiko hili:
Mathayo 27
62 Hata siku ya pili, ndiyo iliyo baada ya Maandalio, wakuu wa makuhani, na Mafarisayo wakamkusanyikia Pilato,
63 wakasema, Bwana, tumekumbuka kwamba yule mjanja alisema, alipokuwa akali hai, Baada ya siku tatu nitafufuka.
64 Basi amuru kwamba kaburi lilindwe salama hata siku ya tatu; wasije wanafunzi wake wakamwiba, na kuwaambia watu, Amefufuka katika wafu; na udanganyifu wa mwisho utapita ule wa kwanza.
65 Pilato akawaambia, Mna askari; nendeni mkalilinde salama kadiri mjuavyo.
66 Wakaenda, wakalilinda kaburi salama, kwa kulitia lile jiwe muhuri, pamoja na wale askari walinzi.
Na tazama, palikuwa na tetemeko kubwa la nchi; kwa sababu malaika wa Bwana alishuka kutoka mbinguni, akaja akalivingirisha lile jiwe akalikalia.
Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji.
Na kwa kumwogopa, wale walinzi wakatetemeka, wakawa kama wafu.
BAADA YA YESU KUFUFUKA NA ASKARI WALISHUHUDIA YOTE
11 Nao wale walipokuwa wakienda, tazama, baadhi ya askari waliingia mjini, wakawapasha wakuu wa makuhani habari za mambo yote yaliyotendeka.
12 Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
13 wakisema, Semeni, ya kwamba wanafunzi wake walikuja usiku, wakamwiba, sisi tulipokuwa tumelala.
14 Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
15 Basi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno hilo likaenea kati ya Wayahudi hata leo.