Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwanza kabisa hujathibitisha Lazaro alifufuka.Kwani hawa wote umewajuaje mkuu??
hoja yangu ni kwamba hawa wote tumewajua kwa historia,zilizoandikwa.
Au kwavile tu lazaro alifufuka ndio maana umetoa macho??vipi da gama na boat duni aliwezaje kukatiza kwenye bahari hata usiku mzito??
Hiyo ndiyo point ya muhimu.
Hayo mengine yote ni kuondoana kwenye reli.