Uamadhani mchezo kububujikwa kwa muda mrefu 😂Ila kapambana haswa
Pamoja na matusi na kejeli ila jamaa alikuwa na nia moja tu UTEUZI 😄
Naskia wako Arusha kula Nyama za zindiko.Ndio maana ephen_ haachi kujikombakomba kwa Lucas Mwashambwa
Tunakuaminia uache hivyo hivyo bossKatoboa naweza kuthibitisha ila moderatos watafuta uzi.
Namba yake ya simu ilikuwa dhahiri na teuzi flani falni za ndani ambazo hazitangazwi alipata teuzi jina lake likawemo naadae nadhani (sina hakika) alishauriwa asitumie ile namba.Mods naweza kuthibitisha mkitaka pasi shaka hivyo uzi huu sio tetesi wala porojo naomba msiufute.
Kwani teuzi mbona alipata muda tu..Mods naweza kuthibitisha mkitaka pasi shaka hivyo uzi huu sio tetesi wala porojo naomba msiufute.