ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Gari sijifunzi, nitapatiwa derevaJitahidi ujue ngeli kidogo, jua kuendesha magari makali 0km & ujue kusalimiana na wakubwa hasa top four
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari sijifunzi, nitapatiwa derevaJitahidi ujue ngeli kidogo, jua kuendesha magari makali 0km & ujue kusalimiana na wakubwa hasa top four
Wadada kujipata ni dakika chache tu unalala mwamvita unaamka first ladyGari sijifunzi, nitapatiwa dereva
Mlinicheka sanaa tu!Wadada kujipata ni dakika chache tu unalala mwamvita unaamka first lady
Naomba uthibitishe taarifa yako hiyo ya uongo na uzushi na yenye nia ovu na chonganishi na yenye kuleta taharuki na sintofahamuKatoboa naweza kuthibitisha ila moderatos watafuta uzi.
Mi sijakucheka nlikuwa bega kwa bega na wewe katika hali zote 😁Mlinicheka sanaa tu!
Sawa nasubiri! Nitumie gunia la mchele wa Mbeya na kisado cha maparachichiNi lazima utaitwa tu ephen wanguu,wala usijali. Wakina Bejamini Netanyau watabakia wakibubujikwa na machozi Utafikiri 🐟
Taarifa hizi ni za uongo na hazina ukweli wowote ule
Usijali mboni ya jicho langu na furaha ya ❤️ wangu.Sawa nasubiri! Nitumie gunia la mchele wa Mbeya na kisado cha maparachichi
Arusha Kuna Lindi ?Mbona taarifa sina! Lucas Mwashambwa umepata cheo umeniacha napigwa na jua huku Lindi
Weka hata cheo chake basi hapaKilimo cha kulima chawa bumbuli kazi maalumu.
Huwa anasema tumebubujikwa na machozi ya furaha 😄Uamadhani mchezo kububujikwa kwa muda mrefu 😂
Mfano kufanya usafi kwenye ukumbi wa mikutano ni cheo au cheo lazima uwe na watu chini yako?Weka hata cheo chake basi hapa