Mara ya mwisho ulishiriki zoezi la kuboresha anwani za makazi kule Mlowo. Hili la wewe kupata uteuzi sijalinyaka bado, changamoto yako ni shule ndogo tu. Nawaza umepewa nafasi gani hiyo? Ngoja nifuatilie, msalimie sana sister, ulimpambania sana kwenye zoezi la anwani za makazi.Naomba Moderator wakuchukulie hatua kali sana maana umedanganya. Wakutake uthibitishe taarifa hii