SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Wewe ephen_Amepewa kazi ha Kuteka na kuuwa wapinzani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ephen_Amepewa kazi ha Kuteka na kuuwa wapinzani
Leo nimeichakata sana susu yake(hapo vipi)Tafadhali niachie ephen na wala usimguse.
Tumia code mkuuSheria za jamiiforum zinanibana nitapigwa ban na uzi utafutwa.
Utaki cheo mkuu unataka kulima kahawa na karanga tu sioHizo taarifa ni za uongo na hazina ukweli wowote ule. Mimi ni mkulima na naendelea na kilimo changu.
Ni uzushi tuTumia code mkuu
Hongera Lucas MwashambwaMods naweza kuthibitisha mkitaka pasi shaka hivyo uzi huu sio tetesi wala porojo naomba msiufute.
Kaka mimi nashangaa kwanini unakataa hili jambo hali ya kuwa wanajamii forum wengi wamebubujikwa na machozi mengi ya furaha juu ya jambo hili?Hizo taarifa ni za uongo na hazina ukweli wowote ule. Mimi ni mkulima na naendelea na kilimo changu.
Siyo kweliKama ni kwl basi itakuwa anabubujikwa na machozi ya furaha huko aliko,,
Kweli uchawa unalipa aisee
Kuhusu namba zaki za simu zina ukwl wowote?Siyo kweli
Naacha nafasi ili wengine muweke namba zenu.Kuhusu namba zaki za simu zina ukwl wowote?
Mbona huweki kwa sasa?
Mkuu kama wewe unayeleta uzi wa kusifia serikali huku unabubujikwa machozi kwa furaha,,Naacha nafasi ili wengine muweke namba zenu.
Mimi Sitafuti teuzi.nafanya kazi kwa hiyari yangu.Mkuu kama wewe unayeleta uzi wa kusifia serikali huku unabubujikwa machozi kwa furaha,,
Na bado hujapata uteuzi ,,sisi tutaweza wapi mkuu?