Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

Mimi Sitafuti teuzi.nafanya kazi kwa hiyari yangu.
Mkuu unaandika uzi wa kusifia serikali huku unabubujikwa machozi kwa furaha kumbe ni hiyari?bila malipo wala kutaka uteuzi wowote?

MUNGU akubariki sn mkuu..uendelee kububujikwa na machozi ya furaha ya jinsi serikali inavyopiga kazi kubwa.

Hongera sn mkuu.
 
Back
Top Bottom