Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

Inadaiwa Lucas Mwashambwa amepewa nafasi CCM ndio maana haweki namba siku hizi

Mimi nimebubujikwa na machozi mengi ya furaha baada ya kupata hii taarifa.. bila shaka umekuwa afisa tarafa sehemu Lucas Mwashambwa
Hongera kwako Jemedari kamanda mwamba wa siasa raisi shujaa wa Africa mama yetu unayependwa kuliko wote Daktari msomi Samia suruhu Hasan
Hakika hakuna kama wewe mama yetu kipenzi
 
Hizo taarifa ni za uongo na hazina ukweli wowote ule. Mimi ni mkulima na naendelea na kilimo changu.
Kaka mimi nashangaa kwanini unakataa hili jambo hali ya kuwa wanajamii forum wengi wamebubujikwa na machozi mengi ya furaha juu ya jambo hili?
Mimi niwaahidi Wana jf nipeni siku nne tuu yatano nakuja na uthibitisho
 
Kama ni kwl basi itakuwa anabubujikwa na machozi ya furaha huko aliko,,

Kweli uchawa unalipa aisee
 
Back
Top Bottom