ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Aug 30, 2024 #141 brazaj said: "Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili." Click to expand... Mama Anatosha na chenji inabaki
brazaj said: "Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili." Click to expand... Mama Anatosha na chenji inabaki
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 Aug 30, 2024 #142 Lucas Mwashambwa said: Mimi Sitafuti teuzi.nafanya kazi kwa hiyari yangu. Click to expand... Mkuu unaandika uzi wa kusifia serikali huku unabubujikwa machozi kwa furaha kumbe ni hiyari?bila malipo wala kutaka uteuzi wowote? MUNGU akubariki sn mkuu..uendelee kububujikwa na machozi ya furaha ya jinsi serikali inavyopiga kazi kubwa. Hongera sn mkuu.
Lucas Mwashambwa said: Mimi Sitafuti teuzi.nafanya kazi kwa hiyari yangu. Click to expand... Mkuu unaandika uzi wa kusifia serikali huku unabubujikwa machozi kwa furaha kumbe ni hiyari?bila malipo wala kutaka uteuzi wowote? MUNGU akubariki sn mkuu..uendelee kububujikwa na machozi ya furaha ya jinsi serikali inavyopiga kazi kubwa. Hongera sn mkuu.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Aug 30, 2024 #143 Aiweke atekwe
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Aug 30, 2024 #144 DeepPond said: Aiweke atekwe Click to expand... Hakuna utekaji Nchi hii.Tanzania ni salama na watanzania ni salama katika mikono salama ya Daktari wetu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan.
DeepPond said: Aiweke atekwe Click to expand... Hakuna utekaji Nchi hii.Tanzania ni salama na watanzania ni salama katika mikono salama ya Daktari wetu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan.