Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
- Thread starter
- #21
Hii unaijua weweMwamposa nae yumo kwenye kutoa hiyo mikopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii unaijua weweMwamposa nae yumo kwenye kutoa hiyo mikopo
Kwahiyo?Hii unaijua wewe
Kakojolewe ulaleKwahiyo?
Baada ya kuwa uneshakojolewa na kukojozwa endelea kuukatikiaKakojolewe ulale
Bora kunyonywa na mtanzania mwenzetu kuliko hawa wageni ngozi nyeupeWakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa hali ya chini hususani vijana wanaojitafuta kuanzia viwandani kwake mpaka anakowakopesha bodaboda kwa riba kubwa huku zikiwatia ulemavu wa kudumu na umasikini na sasa anavuta riba tu kupitia apps mbalimbali
App kama boba, pesa x, safi loan, na nyingine nyingi ni kero kubwa pia unapotumia mitandao ya kijamii unaletewa ads zao utake usitake
B O T ichukue hatua za mapema kumdhibiti boss huyu anayewanyoja waswahili wenzake
Asante
KumbeMwamposa nae yumo kwenye kutoa hiyo mikopo
Hata huyo Gabachori ni ngozi nyeupe, sio MwenzetuBora kunyonywa na mtanzania mwenzetu kuliko hawa wageni ngozi nyeupe
Yeah yeah yeahKumbe
Kwanini unampa uswahili wakati si mswahili?Wakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa hali ya chini hususani vijana wanaojitafuta kuanzia viwandani kwake mpaka anakowakopesha bodaboda kwa riba kubwa huku zikiwatia ulemavu wa kudumu na umasikini na sasa anavuta riba tu kupitia apps mbalimbali
App kama boba, pesa x, safi loan, na nyingine nyingi ni kero kubwa pia unapotumia mitandao ya kijamii unaletewa ads zao utake usitake
B O T ichukue hatua za mapema kumdhibiti boss huyu anayewanyoja waswahili wenzake
Asante
Kwani anawalazimisha kukopa?Wakuu

Tatizo ni wakopajiMdo unajuwa leo pole ila kweli kausha damu unakopb30k inarudisha 50k qummah mbegesi
Mbowe kazaliwa mwaka ganiHii nchi watu wote waliozaliwa miaka ya 80 kushuka ni ccm
Watoto wa 2000 wanavyama vyao
Kero kwa mkopaji? Kwani ni lazima kukopa? Njaa zetu ndio zinatuponza.Wakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa hali ya chini hususani vijana wanaojitafuta kuanzia viwandani kwake mpaka anakowakopesha bodaboda kwa riba kubwa huku zikiwatia ulemavu wa kudumu na umasikini na sasa anavuta riba tu kupitia apps mbalimbali
App kama boba, pesa x, safi loan, na nyingine nyingi ni kero kubwa pia unapotumia mitandao ya kijamii unaletewa ads zao utake usitake
B O T ichukue hatua za mapema kumdhibiti boss huyu anayewanyoja waswahili wenzake
Asante
Dunia inamilikiwa na wenye akili pambana acha majunguWakuu