Conte Code
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 227
- 253
Muacheni ponjoro apumzike....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Broo, hivi magabachori, warabu, wapakistan, wachina, wazungu wakifunga biashara zao wahame . Tanzania haitangia kwenye janga la kiuchumi ?Huyo Gabachori ni Linyonyaji sikuzote
Nasikia Serikali inamuogopa, inamsikiliza yeye
Kweli hawa jamaa ni wachina ila najiuliza wanawezaje kufanya hii biashara pasipo baraka za watawala?Acha kumsagia kunguni tajiri, hizo apps ni za wachina na wapo nchi nyingi za ulimwengu wa tatu sio Tz tu.
Ofisi yao ilikuaga mwenge, waligusa pabaya wakaletewa noma sijui saivi wamehamia wapi.
Hizo App ni za WACHINA.Wakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa hali ya chini hususani vijana wanaojitafuta kuanzia viwandani kwake mpaka anakowakopesha bodaboda kwa riba kubwa huku zikiwatia ulemavu wa kudumu na umasikini na sasa anavuta riba tu kupitia apps mbalimbali
App kama boba, pesa x, safi loan, na nyingine nyingi ni kero kubwa pia unapotumia mitandao ya kijamii unaletewa ads zao utake usitake
B O T ichukue hatua za mapema kumdhibiti boss huyu anayewanyoja waswahili wenzake
Asante
Sio wameshindwa, kuna kitu kinaendelea ndio maana wanawalinda,BOT (serikali) imemshindwa
Sio wameshindwa, kuna kitu kinaendelea ndio maana wanawalinda,
Kama wanakudai walipe tu ndugu yangu, siyo vizuri kutolipa madeni.Hapana ila huyu tunae kula nae supu ya mapupu haifai kuwafanyia watanzania hivi
Unadhani uko sawa kutolipa pesa za watu?Niliwah kukopa TALA na BRANCH mwaka 2019 na sijawah lipa
Acha wivu dhidi ya watu wanaokuzidi kwani ni nani amekukataza kuanzisha app Yako hata hivyo nani amekulazimisha kukopa kwenye hiyo app si uende benki ukakopeWakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa hali ya chini hususani vijana wanaojitafuta kuanzia viwandani kwake mpaka anakowakopesha bodaboda kwa riba kubwa huku zikiwatia ulemavu wa kudumu na umasikini na sasa anavuta riba tu kupitia apps mbalimbali
App kama boba, pesa x, safi loan, na nyingine nyingi ni kero kubwa pia unapotumia mitandao ya kijamii unaletewa ads zao utake usitake
B O T ichukue hatua za mapema kumdhibiti boss huyu anayewanyoja waswahili wenzake
Asante
Waswahili hatuachi pesaKwani anawalazimisha kukopa?
Ukiniletea nakupelekea motoUna uzoefu inaonekan
Basi msipige kelele mkinyonywa damuWaswahili hatuachi pesa
Watu wengi humu hawajui principals za biashara na pia hawajajifunza wakati nduli idd Amin alivyowafukuza wahindi nini kilifuatia baadaye.Na ndiyo hao hao nchi ikiingia kwenye economic crisis au downturn wanakuwa wa kwanza kulaumu mamlaka.Broo, hivi magabachori, warabu, wapakistan, wachina, wazungu wakifunga biashara zao wahame . Tanzania haitangia kwenye janga la kiuchumi ?
Una hakika hawana baraka za watawala??Kweli hawa jamaa ni wachina ila najiuliza wanawezaje kufanya hii biashara pasipo baraka za watawala?
Halafu Pabaya walipogusa ni wapi?