Tetesi: Inadaiwa Mmiliki wa App za mikopo mtandaoni ni bilionea kijana kutoka Tanzania

Bora kunyonywa na mtanzania mwenzetu kuliko hawa wageni ngozi nyeupe
 
Kwanini unampa uswahili wakati si mswahili?
 
Kwani anawalazimisha kukopa?
 
Samahani, hizo app zinaingiaje kwenye simu ya mtu na kumkopesha bila ridhaa yake......!
 
Kero kwa mkopaji? Kwani ni lazima kukopa? Njaa zetu ndio zinatuponza.
 
Dunia inamilikiwa na wenye akili pambana acha majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…