Tetesi: Inadaiwa Mmiliki wa App za mikopo mtandaoni ni bilionea kijana kutoka Tanzania

Huyo Gabachori ni Linyonyaji sikuzote

Nasikia Serikali inamuogopa, inamsikiliza yeye
Broo, hivi magabachori, warabu, wapakistan, wachina, wazungu wakifunga biashara zao wahame . Tanzania haitangia kwenye janga la kiuchumi ?
 
Acha kumsagia kunguni tajiri, hizo apps ni za wachina na wapo nchi nyingi za ulimwengu wa tatu sio Tz tu.

Ofisi yao ilikuaga mwenge, waligusa pabaya wakaletewa noma sijui saivi wamehamia wapi.
Kweli hawa jamaa ni wachina ila najiuliza wanawezaje kufanya hii biashara pasipo baraka za watawala?

Halafu Pabaya walipogusa ni wapi?
 
Hizo App ni za WACHINA.

Tena zote za kampuni moja
 
Kweli kabisa, mi mwenyewe wamenikopesha bila kujua, asaivi wananidai.
 
Acha wivu dhidi ya watu wanaokuzidi kwani ni nani amekukataza kuanzisha app Yako hata hivyo nani amekulazimisha kukopa kwenye hiyo app si uende benki ukakope
 
Broo, hivi magabachori, warabu, wapakistan, wachina, wazungu wakifunga biashara zao wahame . Tanzania haitangia kwenye janga la kiuchumi ?
Watu wengi humu hawajui principals za biashara na pia hawajajifunza wakati nduli idd Amin alivyowafukuza wahindi nini kilifuatia baadaye.Na ndiyo hao hao nchi ikiingia kwenye economic crisis au downturn wanakuwa wa kwanza kulaumu mamlaka.
 
Kweli hawa jamaa ni wachina ila najiuliza wanawezaje kufanya hii biashara pasipo baraka za watawala?

Halafu Pabaya walipogusa ni wapi?
Una hakika hawana baraka za watawala??
App zote hizo wakose baraka za wanasiasa, itakua ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…