Inadaiwa Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari

Amendika Twaha Mwaipaya,

Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka Tarehe 29.10.2025 ilituletea Tanganyika MPYA watu sio waoga tena.

Hapo Raia wanatoa wazo la kuchoma Moto gari inamaanisha hawataki kuonewa tena, nyie tekeni ueni ila hatatisha kila MTU.

Halafu hapo kila MTU kageuka Afisa habari, simu juu watu wanatunza risiti nitumieni hizo video zote.
 
wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.

yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah:MyHonestReaction:
 
Bro, si kila mtu hana akili kama ulivyo, tambua mipaka yako, tunza heshima yako, ishi maisha yako, umechagua kuwa chawa basi tumia akili kuufanya huo uchawa sio unapaparika kama umepakwa upupu.

Kama post imekuuma njoo tupigane, nipo nakusubiri
 
Ni kweli hata wilaya ya muheza mwezi ulioisha iliwahi tokea,Latra kwa kushirikiana na polisi wamemchukua boda boda mmoja wakampakia kwenye gari lao la polisi na pikipiki yake huku polisi kama kawaida wakimkanyaga kanyaga,hapo ndo hasira za boda boda wenzie ziliamka mbona polisi walimshusha fasta tu.
Boda boda walizinda wakafunga Barabara huku wakisema Hilo gari tunalipiga mawe kama vipi mtuue wote kwani huyo sio mhalifu mpaka afungwe pingu na kukanyagwa kanyagwa kama mwizi,kama piki piki yake Ina makosa si atakuja kuifatilia aambiwe makosa yake alipe faini yanini kumfunga pingu kama mwizi?hapa hamtoki na Hilo gari tutalichoma moto ukizingatia tukio limetokea mita kama 10 kutoka ilipo Shelly ya mafuta.
 
wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.

yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah:MyHonestReaction:
Polisi wamegeuka,Wauaji,wafiraji,watekaji ma watesi wa wananchi!
(Refer oct 29,2025)

Juzi tu wametawanya kusanyiko la kina mama kwa mabomu hakukuwa na umuhimu huo...as it goes, hawatavumilika na makabiliano ya hivi ambayo hayakuzoeleka itakuwa kitu cha kawaida kabisa!
 
sasa na wewe unaendeleza porojo na uzushi huo huo dah:pedroP:

ama kwa hakika stress ni ugonjwa mbaya sana wa kisaikolijia
 
wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.

yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah:MyHonestReaction:
Chizi karogwa tena
 
sasa na wewe unaendeleza porojo na uzushi huo huo dah:pedroP:

ama kwa hakika stress ni ugonjwa mbaya sana wa kisaikolijia
Tlaatlaah...msaada wako kwa taifa wewe na Mwashambwa ni mdogo mno!
 
wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.

yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah:MyHonestReaction:
Kweli kaka ila unahisi hapo wapi
 
Back
Top Bottom