wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari
Amendika Twaha Mwaipaya,
Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka Tarehe 29.10.2025 ilituletea Tanganyika MPYA watu sio waoga tena.
Hapo Raia wanatoa wazo la kuchoma Moto gari inamaanisha hawataki kuonewa tena, nyie tekeni ueni ila hatatisha kila MTU.
Halafu hapo kila MTU kageuka Afisa habari, simu juu watu wanatunza risiti nitumieni hizo video zote.
Bro, si kila mtu hana akili kama ulivyo, tambua mipaka yako, tunza heshima yako, ishi maisha yako, umechagua kuwa chawa basi tumia akili kuufanya huo uchawa sio unapaparika kama umepakwa upupu.wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.
yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah
Polisi wamegeuka,Wauaji,wafiraji,watekaji ma watesi wa wananchi!wakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.
yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah
sasa na wewe unaendeleza porojo na uzushi huo huo dahPolisi wamegeuka,Wauaji,wafiraji,watekaji ma watesi wa wananchi!
(Refer oct 29,2025)
Juzi tu wametawanya kusanyiko la kina mama kwa mabomu hakukuwa na umuhimu huo...as it goes, hawatavumilika na makabiliano ya hivi ambayo hayakuzoeleka itakuwa kitu cha kawaida kabisa!
Chizi karogwa tenawakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.
yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah
Ccm imejaza mijitu iliyochizika.sasa na wewe unaendeleza porojo na uzushi huo huo dah
ama kwa hakika stress ni ugonjwa mbaya sana wa kisaikolijia
tuliza mihemko nonsense basi muerevu lofaCcm imejaza mijitu iliyochizika.
Tlaatlaah...msaada wako kwa taifa wewe na Mwashambwa ni mdogo mno!sasa na wewe unaendeleza porojo na uzushi huo huo dah
ama kwa hakika stress ni ugonjwa mbaya sana wa kisaikolijia
Kweli kaka ila unahisi hapo wapiwakati mwingine ni muhimu kuzingatia chanzo cha taarifa au habari yenyewe gentleman.
yaani una ng'ang'ana kabisa kupoteza time kuandika porojo na ugoro wa uzi nonsense kama huu hali ya kua unajua kabisa mtoa habari alivyo mtu wa script za drama? inasikitisha sana dah