Pre GE2025 Inadaiwa RC Chalamila, Steve Nyerere, RC Kenani na Mchungaji Msigwa watagombea Ubunge Iringa Mjini

Pre GE2025 Inadaiwa RC Chalamila, Steve Nyerere, RC Kenani na Mchungaji Msigwa watagombea Ubunge Iringa Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukiona unawekwa kundi moja na huyo pimbi mwigizaji kugombea kiti chochote.
Aisee ujue we ni takataka.
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄
Je hii kauli ilishawahi kufutwa?
1721213261199.png
 
Back
Top Bottom