Chalamila can win.Itakuwa mtifuano wa ng'ombe.He is a politician wenye mikoa na walikatwa mikia.
How hapo watakuwa wamemdharau sana Mch.Msigwa.Steve?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalamila can win.Itakuwa mtifuano wa ng'ombe.He is a politician wenye mikoa na walikatwa mikia.
How hapo watakuwa wamemdharau sana Mch.Msigwa.Steve?
Atamwongoza nani huyo mkingaChalamila can win.
Chalamila ni muhehe, mchungaji Msigwa ndio Mkinga wa Uwanji 😂Atamwongoza nani huyo mkinga
Je hii kauli ilishawahi kufutwa?Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa
Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake
Ngoja tuone 😂😂🔥
Kwako Lucas pale Vwawa 😄