Pre GE2025 Inadaiwa RC Chalamila, Steve Nyerere, RC Kenani na Mchungaji Msigwa watagombea Ubunge Iringa Mjini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄
 
Ndio Taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba hiyo miamba ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Tujadili tetesi?
 
Steve Nyerere & Msigwa washapigwa chini kabla jogoo hajawika
 
Ndio Taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba hiyo miamba ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄

Hivi Steve Nyerere huko CCM Iringa anaesabiwa Kama Mmoja wa miamba ya CCM?
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄
Itakuwa mtifuano wa ng'ombe wenye mikoa na walikatwa mikia.
How hapo watakuwa wamemdharau sana Mch.Msigwa.Steve?
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄
Yupo kwenye mwenge kuna chakula cha bure
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄
msigwa atapewa ukuu wa wilaya au ukuu wa mkoa. chalamila atachukua jimbo. ila steve hana hata uwezo kupata udiwani, wahehe ni wajomba zangu, walishamkataa kwanza wanasema ile sio mbegu ya kihehe, akatafute dingi yake kwengine (in wangoni's voice).
 
Watamuweza ‘Jesca Msambatavangu’ yule mama inaonekana Mafia na keshakuwa mwenyekiti wa mkoa kwa tafsiri nyingine fitna za uchaguzi ndani ya CCM anazijua.

Bila ya kusahau ni mmoja wa watu waliotoka nje Lowassa alipokatwa na wakiongozwa na ‘Emmanuel Nchimbi’ ambae leo ndio katibu mkuu wa CCM.

Sioni wa kumtoa yule mama pale, labda itokee miujiza. Maana hata ikitokea bahati umemshinda kura ya maoni panga la Nchimbi linakusubiri kwenye CC ya CCM.
 
Watamuweza ‘Jesca Msambatavangu’ yule mama inaonekana Mafia na keshakuwa mwenyekiti wa mkoa kwa tafsiri nyingine fitna za uchaguzi anazijua.

Bila ya kusahau ni mmoja wa watu waliotoka nje Lowassa alipokatwa na kiongozi wa ‘Emmanuel Nchimbi’ ndio katibu mkuu wa CCM.

Sioni wa kumtoa yule mama pale, labda itokee miujiza.
Hata Chalamila alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa huku Kenani akiwa Mwenyekiti UVCCM 😂
 
Ndio taarifa zilizopo hapa Miyomboni Iringa kwamba inadaiwa miamba hiyo ni miongoni mwa wanaopitapita mitaani kuweka mambo sawa

Hata hivyo Jesca ambaye ni Mbunge wa sasa na Team Lowassa aliyetukuka anatajwa kutetea Jimbo lake

Ngoja tuone 😂😂🔥

Kwako Lucas pale Vwawa 😄
Watamkuta Msambatavangu ili wapelekwe vizuri kumalizwa pale 'Kitanzini'
 
Back
Top Bottom