Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Prof Mlacha kuna kipindi aliwaambia ule ni msitu, kipindi wanaimba nyimbo za kama sio juhudi zake Nyerere na akasema pia yeye ni simba kwahiyo wao waseme ni wanyama gani palešš¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimekuwa kama shule za private hasa zile KKKT.Wanazungumzia November watakapofungua chuo,wanafunzi watakapokuja na adaJuzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana.
Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho zao. Wahadhiri hao wameambiwa watapewa chuo hakina fedha hadi November ndipo watalipwa posho zao.
Huu ni mwezi September. Hivyo kwa miezi miwili hadi November wahadhiri hao watakuwa wanafanya kazi bila posho yoyote.
Utafiti wetu unaendelea kuona kama vyuo vikuu vingine hali ni hiyohiyo
Mfano wakikaa wanalipwa seating allowancePosho wanakuwa wamefanya nini?
Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana.
Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho zao. Wahadhiri hao wameambiwa watapewa chuo hakina fedha hadi November ndipo watalipwa posho zao.
Huu ni mwezi September. Hivyo kwa miezi miwili hadi November wahadhiri hao watakuwa wanafanya kazi bila posho yoyote.
Utafiti wetu unaendelea kuona kama vyuo vikuu vingine hali ni hiyohiyo
Mama anaupiga mwingi sana.Kazi iendelee
Habari hii itakanushwa haraka sana hata kama ni kweli.
Yan posho tu unafungua thread Je ingekuwa mshahara
Aiseee nilidhani Mimi tuKumuamini lamek kunataka moyo wa chuma
Prof mlacha bado yupo pale kwani??Prof Mlacha kuna kipindi aliwaambia ule ni msitu, kipindi wanaimba nyimbo za kama sio juhudi zake Nyerere na akasema pia yeye ni simba kwahiyo wao waseme ni wanyama gani palešš¤