Tetesi: Inadaiwa UDOM imekosa hela za kulipa posho za wahadhiri

Prof Mlacha kuna kipindi aliwaambia ule ni msitu, kipindi wanaimba nyimbo za kama sio juhudi zake Nyerere na akasema pia yeye ni simba kwahiyo wao waseme ni wanyama gani pale😏🤔
 
Zimekuwa kama shule za private hasa zile KKKT.Wanazungumzia November watakapofungua chuo,wanafunzi watakapokuja na ada
 
Gaidi Mwigulu Nchemba hakustahili Wizara yoyote ile kwenye Baraza la Mawaziri. Huyo ná PhD yake FAKE ni janga kubwa la Taifa.
 
Tutegemee makato zaidi kufidia posho za wahadhiri
 
Kuchelewa kulipwa posho ni jambo la kawaida, ikiwezekana walipwe hata mwaka 2025...
 
Vyuo vingi vinajiendesha kwa ada,na mara nyingi mapato ya ada yanabaki chuoni, mshahara tu ndio unatoka hazina kwa wale wenye ajira ya kudumu; hapo uongozi wa chuo ndio unatakiwa ujieleze, mapato na matumizi yakoje.
 
Posho kuchelewa S Big issue n mambo ambayo hutokea katika taasis nying
 
Prof Mlacha kuna kipindi aliwaambia ule ni msitu, kipindi wanaimba nyimbo za kama sio juhudi zake Nyerere na akasema pia yeye ni simba kwahiyo wao waseme ni wanyama gani pale😏🤔
Prof mlacha bado yupo pale kwani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…