Tetesi: Inadaiwa UDOM imekosa hela za kulipa posho za wahadhiri

Nchi ipo kwenye hali mbaya sana ni kwavile tu serikali za kiafrika zina usiri mkubwa na ubabe wenzetu walioendelea huweka wazi hali ya mambo. Nachoogopa tutakopa hadi hela za kulipa mishahara!
 
Noma kwel jamaa walikomaa Chimwaga ila yule pimbi alitokea akasema usela wake mbona wajomba nyimbo walistisha na kikaeleweka🀣🀣
Basi mzee mwenda akafanya uteuzi wake mpya sijui huwa wanaendaga wapi walio tenguliwa.
 
Sjui asee yule jamaa aliingia wapi sema nlikuwa nasikia wana mahusiano mazuri na mzee wa Msoga
Aiseee basi mzee msoga amewafuta wengi machozi. Wengine pressure ziliwatikisa.
 
Tofauti na hiyo posho ya wahadhiri UDOM iundiwe tume kuna mambo mengi sana ya ajabu, ikiwezekena uundwe Uzi maalum kwaajili ya chuo kikuu cha Dodoma.
 
Yule ni mpare so tegemea hilo na hulka yake, alikuwepo na Prof Msofe, pia Prof Kinabo.
Dah bora Msofe ulikuwa ukienda utawala mkuu anaelewa kuna muhuni mwingine alikuwa anaitwa Dr Nyoni naskia sahivi ni prof ila yule pimbi alikuwa ana usela mwingi jamaa wa Humanities idara ya AMD wana habari zake nzur
 
Dah bora Msofe ulikuwa ukienda utawala mkuu anaelewa kuna muhuni mwingine alikuwa anaitwa Dr Nyoni naskia sahivi ni prof ila yule pimbi alikuwa ana usela mwingi jamaa wa Humanities idara ya AMD wana habari zake nzur
Kama nishamsikia hivi 😏😏
 
Tengeneza uzi wako kuhusu mishahara, huu ni uzi wa posho.

Cha msingi hata wewe umekubali kwamba UDOM haina hela na hilo limeonekana katika kudhulumu posho za wahadhiri.
mshahara unatosha ,wageuzeni hao wanafunzi kuwa marupurupu ya posho
 
Kwan ninlazm wafanye Kaz kwa posho mbna hawana huruma huku wanapokea mishahara kwawakti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…