Inadaiwa ule mgomo wa Madereva umeondoka na watu wengi

Kwa vile vitisho vya yule kamanda mazanzibar nani alitegemea haya yasitokee? Wanajua iq na eq zetu za nyumbu au kuku ndio maana, wanaua na wataua sana tu bado

Yani mlijua yamepita tu salama na nchi ipo shwari sasa? Wabongo ni specie tofauti sana na binadamu wengine. Tunaamini miujiza ya kina mwamposa itakuja kuset mambo duh, anyway tukazanie maombi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…