Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Tetesi: Inadaiwa Wakili Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la Polisi akiwa Serena Hotel

Haka ka utamaduni tulikoachiwa na Mwendazake ka kutekana kanaweza kuendelea tusipokuwa makini. Tunajiuliza kama kweli una makosa kwani ukiitwa kwa njia rasmi kuna tatizo gani ?
 
Kumbe haya bado yapo, Tanzania is still not a safe place hasa kama wewe ni mkosoaji wa Serikali ya CCM na taasisi zake.
 
Amsterdam ana mamlaka gani Belgium ya kumpa hifadhi Tundu Lisu?

Huwa mnajitowa akili au ni kweli akili zenyewe hamna?
Ulaya ndio kimbilio la waafrika wanaokimbia kuuliwa na waafrika wenzao
 
Mwanangu Nimekuwa ban la siku 21. Ndo natoka Sasa hivi?

Kwani hapo kosa ni Nini? Mimi sijaelewa hata.
Soma sheria za JF. Dhumuni la kuruhusu matumizi ya fake ID ni kuwapa watu uhuru wa kutoa maoni yao. Ni marufuku kumtaja member kwa jina lake halisi au kukisia. Inaitwa Name Calling
 
Back
Top Bottom