Ameitwa kama alivyoitwa Makonda. Kila mtu ana haki ya kuripoti polisi anapohisi usalama wake uko mashakaniSi kasema kuna jamaa wa uhamiaji wanapanga kumuua kwenye group la WhatsApp sasa ngoja akatoe maelezo vizuri huko polisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameitwa kama alivyoitwa Makonda. Kila mtu ana haki ya kuripoti polisi anapohisi usalama wake uko mashakaniSi kasema kuna jamaa wa uhamiaji wanapanga kumuua kwenye group la WhatsApp sasa ngoja akatoe maelezo vizuri huko polisi.
Kanyampasila ni terminology ya wanaumoja/Sgang sio, Kwa Imani hiyo atawaunga mkono wanaumoja wenzio/wanakanyampasila wenzio pekee 😂Huyo anatakiwa akae kwenye kanyampasila wiki mbili , huku akila pumba na maji ...
Sheria inasema mtu anapokamatwa anapaswa kuambiwa anakamatwa kwa sababu gani au siyo?!SASA KAMA ANAKOSA ASIKAMATWE YEYE NI NANI? ACHENI UHUNI WENU ITAJULKIKANA ALIKOSEA WAPI AU TAYARI MMESHAJUWA KAKAMATWA KWAKOSA GANI?
Alishakaa jela zaidi ya mwaka ana experience na mambo hayo.Huyo anatakiwa akae kwenye kanyampasila wiki mbili , huku akila pumba na maji ...
Wataelewana tu, ye mwenyewe si alikuwaga huko huko.Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii...
Acha mihemko jifunze kujenga hoja sio kuleta mihemko na shida zako za maisha hili ni jukwaa huru kila mtu anaweza kutoa maoni yake.Wewe kweli kiazi jitahidi uwe msomaji zaidi kama kitu hukijui au humjui mtu husika.samahani kwa kutumia lugha ya kukera
Labda yataisha siku Pombe alitoka madarakani.... ooohhhh sorry labda yataisha chama cha mama kikiondokaHaya mambo sijui yataisha lini!
Kama kosa ni kutuhumu, hata ndugu pendwa Makonda katuhumu watu wengi tu. Hawa wenzetu watahitaji kuwa consistent katika utendaji wao. Sijui watawala nchi hii wanajua kuwa sheria zinatakiwa zitumike bila ubaguzi!? Kisha wanaalika watu wa kimataifa waje kutembelea Tanzania. Hii siyo biashara kichaa!?Madeleka aliwatuhumu wazi wazi na kwamba anajua mbinu zao akadai yuko Tayari kuonana na Rais Samia amweleze ukweli
Kwanini mnateka?SASA KAMA ANAKOSA ASIKAMATWE YEYE NI NANI? ACHENI UHUNI WENU ITAJULKIKANA ALIKOSEA WAPI AU TAYARI MMESHAJUWA KAKAMATWA KWAKOSA GANI?
Na wewe unasapoti ujinga,au umekalia jiti la yehodaya????Bora umesema na wewe mkuu...yaani kuna mijitu mijinga kabisa siku hizi humu ndani...huyo wakili ni nani hasa hata kukamatwa kwake iwe ni tatizo.
Huyo jamaa huwa anajifanya GT kumbe nanga grade one.Kwa hiyo aliyeleta taarifa ni mwandishi wa habari au humu JF wasio na taaluma ya uandishi hawaruhusiwi kuleta taarifa.
Unamaana CDM tu ndio huwa wanaleta taarifa zisizo na kina vyama vingine huwa vinajieleza kwa kina, kwa taarifa tu hata hao CNN/ BBC huwa wanaanza na Breaking News baadae wanakuja na taarifa kamili baada ya kujiridhisha.
Ni sumu iliyokwishasambaa kote ndani ya jamii. Huenda isiishe kabisa. Itabaki kuwa utamaduni wetu mpya.Haya mambo sijui yataisha lini!
Ok, mimi naona ipo vizuri, tusitake kuhamishia mambo ya kiusalama kwenye mitandao, ni hatari sana! Hatuendi kwa ushabiki hapa, wacha anyee debe na kumwaga mavi kwanza!Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii...
Huyu Madeleka ni nani, mbona hajulikani popote humu nchini?Wakili Peter Madeleka adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana muda mfupi baada ya kutoka katika Hotel ya Serena Jijini Dar Es Salaam Jioni hii...
Yataisha uhalifu utakapoisha!Haya mambo sijui yataisha lini!
Nadahani kakamatwa kw ngada!SASA KAMA ANAKOSA ASIKAMATWE YEYE NI NANI? ACHENI UHUNI WENU ITAJULKIKANA ALIKOSEA WAPI AU TAYARI MMESHAJUWA KAKAMATWA KWAKOSA GANI?